Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

hehehehe
baba hakosei bhana, tunge mfikiria kdogo, ila huyu aliye singizia mimb hapana kwa kweli mweer!!

Imenibidi nikasikilize lyrics za huu mwimbo, ninaukumbuka ila kwa kuwa sijausikiliza miaka mingi nimekuta duh

Niambie anajisikiaje mwenzetu hadi namuonea huruma kiaina sasa hivi kwa kweli.

Sawa, basi badili ubini wako uwe wa huyo msafisha kucha, cku ukizaa na msusi pia tumia ubini wake, ila ukija ukizaa na mimi ambaye ni mtekaji utakuwa mwisho wako wa kubadilibadili ubini wako!
 
kipya kinyemi coco, sasa mtu washa kaa naye miaka, dudu ike ike wamebadilisha mapigo wamchoka, of coz akikutana na mtu anaye jituma kidogooo tuuu lazma ahisi mumewe hawez mambo.
ila kumsingizia mimba haija kaa poa kwa kweli

Hiyo ya kusingizia kiaina duh, mimi hata ningesema nijaribu hayo lazima mpira utumike sasa yeye na kufungua miguu pichu ionekane hapo sielewi why?

Hivi wanawake wanakaaga kialosto hivyo mmmmmh

Labda ni shemale huyu ha ha ha haaaaaaa
 
Asante kwa kunitia moyo na kunitetea. Kuwa kwangu muwazi kwenu leo ndiyo wananipa jina chafu la umalaya? Wake zao wameficha makubwa zaidi ya haya. Wapeleke watoto wao kwenye DNA machine waone.

Kabisa usiwajali wao wangeteteana hadi wahakikishe mwenzao kaelewa.

Hawa ni wakuwajibu lolote utaona wanakuwa wapoleeeeeeee. Huku unawasonya tu
 
Imenibidi nikasikilize lyrics za huu mwimbo, ninaukumbuka ila kwa kuwa sijausikiliza miaka mingi nimekuta duh

Niambie anajisikiaje mwenzetu hadi namuonea huruma kiaina sasa hivi kwa kweli.

bonge ya wimbo huu, imebid nitulie na mie ni u review, umefanya gud ku uweka.
ila huu wimbo umetumikaga vibaya sana at times, watu wana cheat halaf wana jitetea na Celine Dion.
hahahaha! wabongo wana fujo kweli.
 
Hao wauza urembo wanagegeda sana wake za watu.
 
bonge ya wimbo huu, imebid nitulie na mie ni u review, umefanya gud ku uweka.
ila huu wimbo umetumikaga vibaya sana at times, watu wana cheat halaf wana jitetea na Celine Dion.
hahahaha! wabongo wana fujo kweli.

Ila si umeona now anatamani kuwa kwenye mikono ya nani zaidi?

Ndio muwe mnahudumia wanawake zenu vizuri, sio kuwaweka ndani na kufikiri basi inatosha. Inabidi mjiongeze kama mnavyotaka wanawake tujiongeze nanyi mnamengi ya kufanya kwao.
 
Hiyo ya kusingizia kiaina duh, mimi hata ningesema nijaribu hayo lazima mpira utumike sasa yeye na kuungua miguu pichu ionekane hapo sielewi why?

Hivi wanawake wanakaaga kialosto hivyo mmmmmh

Labda ni shemale huyu ha ha ha haaaaaaa

aaaaahahahahahahaaaa
alikuwa ana mtega tu msafisha kucha hana llte
 
Back
Top Bottom