Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

kaburi limefukuliwa. usiamini kila kinacho andikwa humu wala kumwamini yeyote

watu wanao ishi maisha halisi humu huwa hawana kelele na wanafanya vitu vikubwa. ni mara chache kuwakuta wakijipaisha huko chit-chat
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Mmeo ni rafiki yangu sana, taarifa zimefika
 
Umetisha mwishowe utatembea na mzibua vyoo na akikwambia pichu yako nzuri na yeye mpe tu hakuna namna.
 
mwambie ukweli mmeo na mzazi wa mtotot vinginevyo ni kuhailisha matatizo ya mtotot na wewe mwenyewe siku za nyuma tena huyu msafisha kucha mwambie haraka kabla hajhamia mji mwingine ili uweke vizuri historia ya mtoto wako ikiwa ni pamoja na yeye kukwambia jina la ukweli na familia yake iko wapi.
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Wanawake hawajitambui 90%
Kaguswa kidogo tu
 
Si ndio huyu aliyeanzisha thread akida mme wake anapoteza muda kwamba yeye kizazi kilitolewa akiwa form six?? Mi ndo mana humu siamini kila andish linaloandikwa alaf unaweza kuta huyu ni mwanaume tu
Huyu ni muongo mno ana nyuzi zake nyingi humu za kupika.Watu kama hawa wanafanya jukwaa kuwa la ovyo.mfyuu zake.
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.

Una jina zuri!
 
Bora unapoleta hizi story zako za kutunga uwe unatumia hata Sentence Rafiki yangu anaomba msaada, kuliko unavyoleta story zisizo na mfanano, hebu Nenda kasome Uzi wako unaoomba ushauri uko kwenye ndoa Miaka 6 na mme wako anahangaika na kupoteza pesa ili Akupatie ujauzito bila kujua umeshatoa kizazi ukiwa form6 ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
 
Kutumia mitandao ya kijamii ukubwani ndio matatzo yake haya, UWE UNARUDIA KUSOMA ULIVYOVIANDIKA SIKU ZA NYUMA NDIO ULETE TENA UONGO MWINGNE
 
Back
Top Bottom