Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Penzi lako umelihamishia kwa makusudi kwa msafisha kucha, achana na mmeo nenda kwa msafisha kucha!
 
....Jitu zima linakaa na kutunga uongo, tena bila malipo. Leo kafungua uzi eti hashiki mimba aliharibu kizazi na mirija akiwa shule. Mumewe mwaka wa sita anahangaika mahospitalini. Hapa ana mtoto na ametiwa mimba, kenge maji mkubwa wewe...
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Mwajiri kwako kama house boy ili uendelee kufaidi mgegedo wake.
 
huna password katikati ya mapaja yako ww ni "slide to unlock" hatari sana(kwa sauti ya sheikh kipozeo)
 
Ndo maana huwa sijisumbui eti nimfikishe mwanamke kileleni nkitupiamo basi napita hivi
 
Screenshot_2017-11-30-23-29-14.png
 
Uuwaji kabisa, uasherati uliokubuhu, hata kutumia condom hakuna!
Yaani wataka kumuuwa mwenzako kisa kushikwa shikwa miguu?! Hii ya mwaka..
Sasa tunaelewa kwanini mnakimbilia kusafishwa miguu!
Ngoja niende sasa hivi kumsafisha wangu miguu isije ikawa balaa 🙂😉
 
Si ndio huyu aliyeanzisha thread akida mme wake anapoteza muda kwamba yeye kizazi kilitolewa akiwa form six?? Mi ndo mana humu siamini kila andish linaloandikwa alaf unaweza kuta huyu ni mwanaume tu

Kuamini neno jf ni sawa na kucheza mchezo wa biko
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Ndo akili zenu zilivyo....
wapumbavu sana nyie
 
Back
Top Bottom