Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Wewe ni dume usituzingue....
Kama vipi mpe na vuzi la rinda anyoe.

Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana ukijifungua salama dogo akikua hutapata tena shida ya kwenda kusafisha kucha mbali hope dogo atachukua fani ya baba yake
 
Hii ndio inadhiirisha ile kauri ya kuwa wanawake wana akiri ya kuku.
 
Bora ume mwambia kweli mkuu.
Siku akisfiwa na konda kuw adada umependeza kuliko abiria wangu wote
kwenye hili daladala langu, basi anagawa uroda tena bila ndomu.
Omba talaka, ukaolewe na msafisha kucha, kuna watu hawaridhilagi kwa kweli ,na mwendesha bodaboda utampa akikusifia unanukia vizuri.
 
Weka namba yako ya Simu Hapa,..nikushauri Vizuri.
 
Daaah kazi IPO kweli bado sijawa tayari kuoa maana kwa kesi hii Mimi maamuzi yangu ndoa haipo tena ! RIP ndoa
 
Hongera sana ukijifungua salama dogo akikua hutapata tena shida ya kwenda kusafisha kucha mbali hope dogo atachukua fani ya baba yake
Hiii kuzalishwa na maboy shamba,walinzi,waosha kucha matokeo unakuta baba wa watu na...miakili yake lakini watoto hawaba akili hata moja wako tu nje...wanakimbizana na walinzi...na...maboy shamba au wakienda...shule wanashinda...nje na wauza vitafunio na...kuwasaidia kazi.
Mtu hadi anajiuliza huzi tabia kazitoa wapi ??
Kuzaaa na mtu humjui ..hujui tambiko.zao .,hujui laana zao,hujui magonjwa yao ya kurithi..etc
 
kwani wewe jinsia gani maana hiz fiction story zako zmekua nyingi. ww si ulisema unaozeshwa bek 3? na sasa umekua demu?
 

Kweli kabisa mkuu
 
Hahahaha@ sexless unachekesha lol!!
Si ndio huyu aliyeanzisha thread akida mme wake anapoteza muda kwamba yeye kizazi kilitolewa akiwa form six?? Mi ndo mana humu siamini kila andish linaloandikwa alaf unaweza kuta huyu ni mwanaume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…