Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Pumbavu zako umesaliti halafu bado unazidi tetea hoja zako za ufedhuli wako na eti tukupe ushauri!.Kuna Mkuu 1 alishawahi sema humu ndani kuwa hatomruhusu mkewe apakwe rangi na hao jamaa na siku akimkuta basi ndio tiketi yake.In fact sikumuelewa at that time kwakuwa nilimchukulia km mnyanyapaa katika mahusiano.Lkn sasa nathubutu kusema kweli alikuwa sahihi kwa maana alikuwa anajitengezea kinga ili kuepuka unnecessary malumbano
 
Mshenzi sana wewe,kwanza unatiwa na MTU Mgeni huvai hata condom mana Yake nimuuwaji wewe,unaweza kumuua mumeo,pia jiangalie kwenye kioo ulivyo mkatili unaanza kwa kumbambikia Siku inakuja utataka kumuua ilikuepuka fedheha,dhambi inakuotea IPO mlangoni ,wanawake kuwatetea ni Kazi sana,najua unamawazo yakuua tu,kama sio mimba,basi msafisha kucha au mumeo,utamkoma Mungu
 
Asante kwa kunitia moyo na kunitetea. Kuwa kwangu muwazi kwenu leo ndiyo wananipa jina chafu la umalaya? Wake zao wameficha makubwa zaidi ya haya. Wapeleke watoto wao kwenye DNA machine waone.
Usijitie moyo umekosea,wala haina jinsi ya kuipolish umechemka,kua jinsi ya kumalizana nalo,omba muuza kucha sijui asirudi aogope mumeo,Ila akirudi lazima ukome wewe
 
Hatari Sana hii... Wanawake kuweni serious
 
Nikimkuta mke amepakwa rangi ya kucha na mpanga rangi za kucha itakuwa tiketi ya kurudi kwao
 
Nachangia context sio mleta mada pengine ni mwanaume. Binadamu lazima ujue value yako na mwelekeo bora wa maisha hasa kupata furaha ya kupewa nafasi ya kuishi.
 
Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Kama ni mwanaume basi atakuwa mtunzi wa hadithi.
 
Pole, ila me naogopa kukushauri maana unaweza ukahamia kwangu wkt na me nimeoa
 
Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Kweli kabisa huyu jamaa ni type ya kina shigongo
 
Omba talaka, ukaolewe na msafisha kucha, kuna watu hawaridhilagi kwa kweli ,na mwendesha bodaboda utampa akikusifia unanukia vizuri.
Na wale wakongo wanaomsuka nywele lazima wameshamfumua marinda kwa kumsifia ana nywele nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…