Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Huwez kunywa Asali na Gongo ukahis utafurahia utam wa asali...


Wasiwasi ni riba inayolipwa na waliofanya maovu...
 
Duh, inauma nyie wanawake hofu hamna kabisa. Mwiko tena mwiko mke wangu kusafisha kucha wala miguu, na hata kusuka nywele kwa wamasai ni mwiko. Yaani na talaka nishaandika tayari inamsubili yeye.
 
Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
yawezekana anazo mbili, mie najiuliza huyo msafisha kucha hadi aone bikini, au alivua nguo akabaki na bikini
 
yawezekana anazo mbili, mie najiuliza huyo msafisha kucha hadi aone bikini, au alivua nguo akabaki na bikini
Nilikuwa nyumbani mkuu, nilivaa dera na bikini yangu nyekundu
 
kwa hiyo hapo ilipaswa nikusifie
mweer!
IMG_20170503_170258_961.jpg

Mko pacha
 
Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Daaa nimepitia post zake mshenziii kakosa kazi za kufanyas....atakuwa shogaa mwanamme halisi hawezi Fanya ujinga km huu
 
Ungeendeleza story ni mlikuwa chini ya miti barabarani au alikuja nyumbani kwako na mlitumia kitanda cha mumeo?

Na bado unaendelea nae? Unampatia pesa?

Ila inabidi unayopenda kufanyiwa na mchepuko anza kumsukuma kiujanja mumeo atende nawe, yaani akikuuliza vipi sema mimba hiyo inakusukuma kupenda kunanii na kujaribu mengi tofauti...singizia mimba kwa kila kitu.

Hawa wanaume wao wanapenda sana kusingizia husomagi wanayoandika, sasa nawe singizia mimba. Mimba hazinaga uaina kila moja kivyake, wewe ni hayo...mfunze angalia nae movie za x sema unajifunza hapo

Nakutakia kila la kheri, ila duh kuzaa nje ya ndoa umechemka kwa kweli.

Ingekuwa mwanauke mliependana sana labda ex wako ningeeelewa sababu mapenzi mengine huwa hayaishi. Na mngepata wakukaa na kujivunia mapenzi yenu hata kama mna wenza wenu. Na mipira hukufikiria au ulitaka kujaribu kupata mimba umsakizie?

Na pia wanaume wengi haya wanajitakia kabisaaaaa, wao hawajui kuishi na wake zao na kuwatenda vyema. Ni makaputi, huku watakimbilia nje kutoa uroda si ndivyo wanavyojusifu humu. Wengi mabomuuuuuuuu ha ha haaa

Kila la kheri wa ndoani wote
Mtoa mada nidumeee anawachota akili
 
Back
Top Bottom