Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Omba talaka uhamie kwa mkata kucha
 
Kwahyo angekuwa Waziri isingekuwa fedheha??

Nevo255
 
Na ukiendelea kufanya tendo la ndoa mumeo ilihali sio baba wa Kiumbe hicho ataweza kusababisha ujifungue mtoto Mwenye mabaka meusi kwa sababu ya shahawa za mumeo zinakuwa zinaunguza mfuko wa mimba kwani hizo hazitakuwa rutuba kwa Huyo mtoto ila endelea kumpa uroda msaficha kucha ili aendelee kutoa rutuba kwa Mwana huyo kwani ndio muhusika wa ujauzito
 
Pili mumeo humpendi kwa nn ukimsaliti kwa ashki kidogo kidogo eti MTU kakusifia bikini yako inawezekana kabisa huo ni mchezo wako kwani wasaficha kucha kuona hizo vitu kwao kawaida na huo umalaya kwa ninyi wanawake wa style kama yako pale ulipo mpa siku ya kwanza najua hukulipa na siku ya Pili hivyo hukulipa na ya tatu pia vivyohivyo hukulipa ila yeye atakuwa alikulipa bila shaka
 
Msafisha kucha ujuzi uliongezeka hadi kusafisha vitu vingine. Katika eneo hilo mwanamke kamwe huwa hana uzalendo. Kama aliweza kumtii nyoka akamkiuka mungu sembuse ndoa yake dhidi ya msafisha kucha.
 
Mungu akusamehe tubu na jiachilie kwa mumeo omba radhi mbele zake na urudie muumba wako madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…