Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

ndiyo maana kuna siku nilipiga teke kapu la msafisha kucha nilipomuona sebuleni kwangu......... wanawake bwana wanapenda chips zinazopikwa na wanaume... saloon zinazosukwa na wanaume...... kusuguliwa kucha na miguuu na wanaume hata pesa kutoka kwa wanaume mgegedo kwa wanaume ....alafu tunajiuliza kwa nini wajane ni wengi
 
Pole shosti! "Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge!"

Yaani nimestuka!!! Nimejiona kama ndo future yangu hii...
Nimempa namba msafisha kucha na ananivizia huyoooo!
Siwezi imagine ikatokea nimebeba mimba yake!
Tafadhari
 
Watu wanaliliandoa,wakishaolewa ni majanga.aliekuoa ana mzigo mkubwa
 
Wizi mtupu.....hii pia ni point y sinto funga ndoa
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.

Umewadhalalisha wanawake wenzio wengi wanaotegemea huduma za wasafisha miguu/kucha.
Yaani wewe ni maharage ya Mbeya...maji mara moja.

Una udhaifu mkubwa sana.

Huo ndio ushauri wangu.

Nimemaliza ila umeudhi sana.
 
Sidhani kama kuna tatizo kusaidiwa ni jambo la kawaida mbona naye ana nyumba ndogo pale mtaa wa pili
 
WASUGUA KUCHA WOTE MUNGU ANAWAONA MNAYOFANYA KWA WAKE ZA WATU
 
khaa mpak rangi kuchaa?? Sio kwa u cheap uo, xax nazan ht mtt w shile y msing akikukonyeza tu unaachia anabutua
 
Ukisikia kujitoa mhanga ni huku, omba Mungu iwe tu ni Mimba bila ugonjwa maana hujui background ya huyo msafisha kucha kuwa kashasifia wangapi na wakampa kama wewe ulivyompa. Anyway ishatokea, ngoja nami nikusifie una mwandiko mzuri
 
Watu mna mambo! Huyu ni dume lkn kaamua kujiita mwanamke, jaribuni kurejea kwenye post zake za nyuma!!!!
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Ukishazaaa tafuta msuka nywele salon uzae nae mtoto wa tatu
 
Mimi juz nimemla mke wa mtu kwa kumsifia anakicheko kizuri
 
Back
Top Bottom