hahahaNdio hivyo bwana, leeni tu maana kitanda hakizai haramu.
Nyie mnacheat na mnazaa au kuwatoa mimba, hakuna cha kuzidi wala kupungua.hahaha
uzuri ni kwamba wako wengi, mkemia mkuu si alisema 49%, ila ladiea mmezid, wanaume huwa tunacheat ila nyie mnacheat na kusingizia mimba mweer!!!
Kumbe alikuja kukusafishia home... Wewe ulizamiria nautakuwa ulimtega nakibikin chako.Huwa anakuja nyumbani
Kwang pia nakuunga mkono atNlisha sema mwanangu DNA itahusika, wanawake mnafunuliwa tu kama pazia
Kumbe huwa unazingua sindioHa ha haaaaaa
Siasa tena, siasa ni habari nyingine maishani. Mimi sio mwanasiasa bali naandikaga kama mwanancholi tu na najifunza mengi. Ila napenda kupinga ambacho akina miguu wala kichwa nakutoa ukweli ninaohuona.
teh tehNyie mnacheat na mnazaa au kuwatoa mimba, hakuna cha kuzidi wala kupungua.
mimi pia, nitakuja kufanya kituNlisha sema mwanangu DNA itahusika, wanawake mnafunuliwa tu kama pazia
Hata maelezo yake hayana connection na feelings.Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Mhhhh mm sina uzoefu huo ningekushauri. Naogopa nitakupotosha
Shida nini sasa?? kama unataka kuzaa poa, kama hutaki ni pm nikupe ushauri nasaha!Huwa anakuja nyumbani
Kuna wenzenu wanamlilia Mungu wapate watoto na hawapati, shukuru Mungu we unapata hata wa kubambikiwa.teh teh
yeah but hatusingizii mtoto kwa mtu, at least huwa tunabeba mizigo yetu wenyewe, ila nyie mna tubambikia watoto mpaka tunakufa hatujui tunalea watoto ya watu mingine
Nakubaliana na wew kabisa...hivi viumbe ni ngumu kujua kinawaza nini na kinataka nini..kwa asilimia kubwa wanawake wanapenda vitu vidogo vidogo ama vitu vya anasa tena kwa mteremko ama dezo dezo (bure) na ndipo vinapokuja kuwatokea puani kama huyu mhanga
Tamaa zoa huwa zinatoka kwa hawa watu
1- wauza urembo
2- wapaka rangi kucha na kusugua migu
3- wauza vyombo vya ndani
4- wauza mboga mboga mtaani
5- masonara
6- mafundi simu
7- wauza genge (soko dogo)
8- Bodaboda
ukiona mwanamke wako anamazoea na hawa watu Brother kuwa makini Kuliko navyo kueleza
khaaa!Kuna wenzenu wanamlilia Mungu wapate watoto na hawapati, shukuru Mungu we unapata hata wa kubambikiwa.
Nikweli kabisa ...watu wanalea watoto wa wanaume wenzao Bila kujuaNlisha sema mwanangu DNA itahusika, wanawake mnafunuliwa tu kama pazia
Kuchomwa tutachomwa pamoja tu na wachepukaji wengine wote,waongo nk[emoji12]khaaa!
sidhani kama hao wanaomba mtoto wa kubambikiwa, ni bora mka adopt mtoto mnayejua si wenu ila hii ya kusaidiwa bila kujua ki ukweli Mungu awachome moto kwa hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchomwa tutachomwa pamoja tu na wachepukaji wengine wote,waongo nk[emoji12]