Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Mwambie akupangishie chumba uwe nyumba ndogo yake, na ili uwe huru na huyo mzinzi mwenzio omba talaka. Wasafisha kucha, wauza maji, wauza urembo ni wahuni na wanatafuna sana akina dada na wanawake wasio waaminifu kama wewe, pia kapime huenda amekupa mimba mapacha yaani ya mtoto na virusi, nyambafu!!

Hmmmm! Kumbe wasafisha kucha wanafaidi eeh! Unasafisha kucha huku unapapasa nyayo bi dada anasikia raha za ajabu na sauti kubadilika huku macho yakiwa yamerembuka. Msafisha kucha anaweka miguu vizuri ili aendeelee na kazi yake kumbe anataka kuangalia picchu aone ni ya rangi gani aisifie huku akiomba digits. In few days msafisha kucha anaomba papuchi kupitia digits alizopewa. Bila shaka usafishaji kucha ni ajira bomba sana wateja tele na ukijua kazi yako basi hukosi kuziona picchu na hatimaye kuomba papuchi. Paprika hii mimba ya nani!? Ya msafisha kucha. Tobaaa!
Yaani huyu msafisha kucha wa huku kwetu ni kijana mdogo tu sema ana ule upole wa kiuplayer flani ivi... Hana haraka anapozungumza na anakuangalia machoni mpaka unaona aibu mwenyewe... Yaani anasafisha kucha huku anakuangalia... Anagusa mguu kama vile utosi wa mtoto mchanga... Nikajikuta nampa namba pale alipoomba

• Thanks
Reactions: BAK
Hapo kwenye rangi juhudi kidogo tu za huyu msaficha kucha zinahitajika ili akuvue picchu. 🙂🙂🙂

Yaani huyu msafisha kucha wa huku kwetu ni kijana mdogo tu sema ana ule upole wa kiuplayer flani ivi... Hana haraka anapozungumza na anakuangalia machoni unaona aibu mwenyewe... Yaani anasafisha kucha huku anakuangalia... Anagusa mguu kama vile utosi wa mtoto mchanga... Nikajikuta nampa namba pale alipoomba

"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninayelingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaa.

Mimi nina 30 mpaka nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lakini mimi moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.

Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mimi naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.

Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.

Jumapili njema.

HUYU JAMAA NI MWANAUME SIO DEMU. ANGALIA POST ZAKE ZA NYUMA

Hiyo ni moja ya post za mtoa mada za nyuma huko. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu

Hapo kwenye rangi juhudi kidogo tu za huyu msaficha kucha zinahitajika ili akuvue picchu. 🙂🙂🙂
Nishamkamata! Mi nilidhani niko spesho... Inaelekea anawafanyia wengi tu hivyo. Huyu dada kanifungua macho.

• Thanks
Reactions: BAK
Oh! lakini usicheze na mguu kuguswa kama utosi wa mtoto huku ukiangaliwa machoni huku umekaziwa macho, hukawii kukwepesha macho yako huku moyoni ukisema huyu msafisha kucha kanuia kunivua picchu huyu lol!

Nishamkamata! Mi nilidhani niko spesho... Inaelekea anawafanyia wengi tu hivyo. Huyu dada kanifungua macho.

Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.

Subiri litoke toto jeusi na mbilikimo tofauti na mumeo then uje utueleze mumeo anasemaje kuhusu huyu mtoto wa kichina. Hongera kwa kugegedwa bila kujikinga, raha yake ndiyo hiyo kuzaa mtoto tofauti na damu ya mumeo na kumtia mumeo hasara.

Tubu kweli kweli, hukuma yako ni kuburutwa motoni kwa mnyororo uliotungwa kwenye matiti yako

Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.
Shetani wa mguu mmoja ..sasa na yeye si atakuwa msafisha kucha...tabia zake tu kila.mtu atajua sio wa nyumba hiiiyo

Na wengine kwetu tuna mila ukitaka kujua mwana sio wake unamchinjia ile...mbuzi yake ya kwanza ya kumpa...jina anapokuwa naye kakuwa kuweza kula ..akila ujue mtoto huna unless utubu kabla

Back
Top Bottom