Ebu kopesha watu
Niifanyie nini? Naombeni ushauri wenu wadau
Watu wengi nikiwakopesha hawanilipi.si bora niruke zangu Dubai nikale bata?
Mwana JF yoyote atakaenipa ushauri mzuri nampa milioni 10 cash.
Kwani we ni Dj Khaled
Zilete hapa sweden nikugungashie ma tractor ukalime au uuze