Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Bank ipi iko vizuri,niliyokuwa nayo ni nzuri kosa nililofanya ni kununua daladala za kufufua sababu pesa ilikuwepo nimejikuta imeishia garage japo zimesimama lkn pasua kichwa zinakula Pesa kama jini mfilisi unarekebisha hiki kinaibuka hiki naona tafilisika japo wazoefu wanakwambia ndio gari zilivo vumilia zitatulia zikishajivubua magonjwa yote hata sisi tulianza hivo hivo.Unagusa services ya pump ukicheki imeliwa laki nani hapo nikipiga sawa na mifuko ya cement kadhaa,Mara gari imekamatwa,najikuta natoa tu
Benki wana product mbali mbali paka uchunguze benki ipi ina product ipi zuri kwasasa kwa nyumba Barclays walikua wazuri walikua wanatoa riba yao kila mwezi na pesa ilikua nzuri tu ila kwasasa sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga kanisa alafu andika Ministry of Jesus....
Alafu huwanze mambo kama hayo utapiga kila aina papuchu
Screenshot_20200109-170427.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom