Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

Jaribu Hardware,ila angalia location,bidhaa haziozi,wala ku expire,hata vikikaa mwaka bila kununuliwa...
Huu msemo huwa watanzania wengi tunaupenda. Hata kitu ambacho hakiozi kisipouzika kwa wakati ni hasara. Kama una stock ya milioni 50 ya building hardware usipouza kwa muda wa miezi sita halafu ukaja uza mara moja kwa sh milioni 100 kama expenses kwa muda wote ambao hukuuza hazijawa covered up nayale mauzo na faida kubaki basi unakuwa hujafanya chochote.
 
Ushauri Wangu

1. Kama una nia na shamba, ingia kwanza huko Morogoro au Manyara Kodi Tractor Kwanza hata miezi 6 usome upepo.

2. Pili, Kwanini usifanye biashara ya wholesaling hata kwa bidhaa 2 au 3.

( Chagua bidhaa zako, Nunua Kigari Cha Usambazaji. Agiza viwandani mzigo ( unaweza kuubrand uwezavyo ) then, sambaza.

3. Jenga Dispensary kwenye kimji promising kinachokua ili wasikiilize wanaojua ( usijifanye wewe ndio kila kitu )
 
Karibu tukuuzie Case trekta 75hp 4wd.
20171016_143336.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bana likasi,
Tafuta sehemu mzuri ya mji unaokuwa. Fungua hardware, ya maana, tafuta flame yenye eneo kubwa kwa nje mwaga mbao size zote, mwaga mirunda, mwaga miti ile migumu ya kuchana ile wanajengeaga choo. Hakika hautajuta. Biashara isiyooza biashara isiyohitaji ukarabati, biashara isiyopitwa na wakati.
 
Mkuu hongera kwanza. Biashara zote hizo pasua kichwa. Nunua mpunga weka s tore. Mfano mpunga wakati wa kiangazi huwa ni kati ya elf 30 hadi 36 kwa ginia hapo ni july uweke store hado october hadi april then uuzekati ya miezi hiyo bei ya gunia la mpunga hupanda hadi elf 90. Nafikiri faida shilingi itazaa shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Niseme ukweli kiuhalisia kBs na decade hii hyo ni biashara KICHAA!...uweke mpunga kutoka may au june uje uuze sijui dec...umeizika sehem tu hela yako!...km makosa tufanye zaman sio sasa!

Alafu sio kwel..kilikua kipindi cha Jk kuzaa shilingi sio miaka hii mkuu!...
Hizi biashara za namna hii kwakwel tuanze kujitafakari upya..mie naona km hasara zaidi!..yaan uweke 20m uje upate 25m kwa 6mths! Hapana!
Hili ni wazo langu mm!
 
Huu msemo huwa watanzania wengi tunaupenda. Hata kitu ambacho hakiozi kisipouzika kwa wakati ni hasara. Kama una stock ya milioni 50 ya building hardware usipouza kwa muda wa miezi sita halafu ukaja uza mara moja kwa sh milioni 100 kama expenses kwa muda wote ambao hukuuza hazijawa covered up nayale mauzo na faida kubaki basi unakuwa hujafanya chochote.

Ndo yale yale ya mchele kuhifadhi stock
 
Niseme ukweli kiuhalisia kBs na decade hii hyo ni biashara KICHAA!...uweke mpunga kutoka may au june uje uuze sijui dec...umeizika sehem tu hela yako!...km makosa tufanye zaman sio sasa!

Alafu sio kwel..kilikua kipindi cha Jk kuzaa shilingi sio miaka hii mkuu!...
Hizi biashara za namna hii kwakwel tuanze kujitafakari upya..mie naona km hasara zaidi!..yaan uweke 20m uje upate 25m kwa 6mths! Hapana!
Hili ni wazo langu mm!
Tena ukichaa haswaa, au kukosa plan.
 
Hiyo pesa 45m ukiweka benki ya biashara kama fixed deposite kila mwezi unapewa 480,000 riba wakati unasubiria paka pale mazingira ya biashara ikae vizuri nchini, lasivyo uwezekano wa kupoteza mtaji ukiwa unaanza biashara mpya nimkubwa sana kipindi hiki cha JPM, labda kama unaendeleza biashara ulio kua nao....lakini jambo muhimu kipindi hiki sio faida ila ni kulinda mtaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Bank na wenyewe wamekuwa matapeli tuu,kuna mwl amepata kiinua mgongo chake NMB wakamshauri aweke fixed hela kidogo nyingine ndio atumie,kweli akaweka kama 30ml ambayo kwa mwezi atakuwa anapata riba ya 210000,miezi ya mwanzo mwanzo walikuwa wanamuwekea hela yake lkn siku zinavyozid kwenda wakawa hawaweki tena hela,wakifuatilia wanaambiwa sijui hali imekuwa mbaya raia hawarudishi mikopo wanayokopa bank,hivi kweli Hui so utapeli KBS?!....

Hiyo sio benki sasa, ukuingia mkataba na benki lazima ikulipe mambo yao ya mikopo ha yakuhusu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo pesa 45m ukiweka benki ya biashara kama fixed deposite kila mwezi unapewa 480,000 riba wakati unasubiria paka pale mazingira ya biashara ikae vizuri nchini, lasivyo uwezekano wa kupoteza mtaji ukiwa unaanza biashara mpya nimkubwa sana kipindi hiki cha JPM, labda kama unaendeleza biashara ulio kua nao....lakini jambo muhimu kipindi hiki sio faida ila ni kulinda mtaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Milion 45 unapata 450,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom