Mkuu nina nia ya muda mrefu sana juu yako, ipo siku nitakutafuta kwenye haya masuala ya uvuvi. Inaonekana una uzoefu sana kwenye haya masuala, Mwenyezi Mungu azidi kutuweka zaidi na atujaalie afya njema.
Ukiwa unafikiria kazi ya kufanya, ziweke kwenye fixed account. Au kama una washikaji waaminifu kopesha kwa riba, tena hii inalipa sana ni swala ni uaminifu.