Nina milion 4 je nikienda kukopa bank m 2 napewa?

Sijakuelewa logic yako kabisaaa...nilijua unakopa ili uwe na mtaji wa mil6 kumbe unakopa mil2 uifanyie biashara hyohyo 2mil ila ukishindwa kulipa ulipe kwa cash yako ya 4mil kama mortgage. Kama ni hivi nilivyofikiria ndivyo ulivyo una shida mahali.
 
Hakuna dhamana kama hiyo... Kwa io upewe mil 2 na bank afu uchote na kwa kwako 4 ukafanye biashara? Dhamana hapo inakua Nini?

Au unataka bank wablock Hio m4 yako afu ndo wakukope m2?
 
Sijakuelewa logic yako kabisaaa...nilijua unakopa ili uwe na mtaji wa mil6 kumbe unakopa mil2 uifanyie biashara hyohyo 2mil ila ukishindwa kulipa ulipe kwa cash yako ya 4mil kama mortgage. Kama ni hivi nilivyofikiria ndivyo ulivyo una shida mahali.
Lengo nisevu kias fulani mkuu
 
Back
Top Bottom