Ha ha ha! Yani kuulizia gari iliyotumia kibongo bongo isiwe na historia ya ajali ni sawa na kuulizia bikara kwa dem mwenye miaka 30! Kibongo bongo magari mengi yameshapigwa puti za kutosha... Hongera lakini kwa kupata fungu la kununua mkoko. Kila la kheri...