Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?

Point tupu
 
Jamiiforums watu kama wewe mpo wengi sana, mna ugonjwa wa kusoma vichwa vya habari na kurukia ku comment ama kusoma paragraph ya kwanza tu mje ku comment.

Soma upya na uelewe post, Ni wapi nimeandika perfomance yangu imeshuka??
 
Age mate umewahi mno majukumu ndugu
😃😃 Tupo tofauti

Wenzangu wengi sana bado wanakula bia, wanabadili warembo, hawajaoa, wamekataa watoto, n.k

Wengine tunawaza maendeleo, ninajiwekeza leo ili kesho iwe na ahueni.

Nadhani vijana wengi wa kitz wanaona sex ni kitu ambacho inabidi kiwe ni kipaumbele namba moja na matokeo yale huwa sio mazuri kwa wengi.

Mbaya vijana wengi wamegeuka wehu, yaani mtu anapoteza muda na pesa kula mihogo, vipande vya nazi, karanga, maziwa ya mgando, mchuzi wa pweza, akipiga show dakika 10 tu lwisha habari yake 😂😂 na hao mara nyingi wanakuwa hawajaoa wao ni kuzini tu.

Mi sahizi kupafomu napafomu kama kawa na wife nampa haki yake, ila tu ni kwamba kwa sasa nguvu ya mawazo ya maendeleo imeizidi nguvu ya mawazo ya ngono.

Zamani pia nilikuwa mbinafsi sana, nikiwa na vinyege tu namrukia wife fasta hata kama hajajiandaa, pia nilikuwa nampuuza wife, akisema nipunguze speed twende taratibu mi nlikuwa naongeza speed, kwa sasa namhudumia vizuri nmeacha ubinafsi.
 
Jamiiforums watu kama wewe mpo wengi sana, mna ugonjwa wa kusoma vichwa vya habari na kurukia ku comment ama kusoma paragraph ya kwanza tu mje ku comment.

Soma upya na uelewe post, Ni wapi nimeandika perfomance yangu imeshuka??

Hahaha sasa mimi nimeandika wapi yako imeshuka kwenye comment yangu

Hahaha kaka au imeshuka kweli???

Mi nimeandika overview ya scenario za namna hiyo yako

Km una defend hadi fake identity kwa nguvu Zote kwamba unaogopa watu wasiokujua watu una under perform
 
A moment of silence for another fallen soldier....matatizo ya nguvu za kiume huwa yanaanza hivyo, wahi katika kituo cha afya ndugu yanguView attachment 1817500
Mkuu wewe naona umeandika ukiwa shahidi kabisa wa hii ishu, pole kwa kukosa nguvu za kiume mkuu, Kwa jina la id yako "canabis" maana yake ni bangi, nna uhakika wa kiwango cha juu nguvu zako zimepungua kwasababu ya mbegu za bangi, zile mbegu huwa zinafanya uume uwe legevu, Pole sana.

Wengine bado tunadunda, moto ni ule ule ila akili imechomoa ngono kwenye vipaumbele
 
Vizuri,just keep it up man
 
Kama una mpango wa kuoa na kuzaa angalia watoto wako wasije kukuita babu.
Halafu sperms zikakosa nguvu ukaja kusaidiwa kutia mimba uje ufungue uzi to humu.
Ngozi nyeusi akili yetu ipo kwenye kuzaa tu.
Bro dunia inakimbia sanaa "tafuta maisha" unataka kuzaa ili baadae waje wakulaumu...
Wazungu hupata watoto umri wowotee wautakao, sisi akili zetu ni kuzaa tu ndio maana tunatawaliwa.

#YNWA
 
Ww ni mm kabisa
 
Acha kunisema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…