Nina miaka 30 sina mtoto

mwanaume usiwe na hofu wewe unaweza pachika mimba mabinti watano so ukapata watoto watano ndani ya mwaka ila mwanamke akiwa 30 hana mtoto ajitafakari sana
 
Brother zangu walipata watoto na juu ya miaka 30 mmoja alipata akiwa na miaka 32 mimi Nina 27 now ila wazo la kuwa na mtot hata sina nafikiria mpaka niwe na 30 au 33
 
Utapata tu mwenye akili ila adabu huwez kuipata
 
una umri gani? Ila kweli mademu wengi akili tatizo
 
Umeeleweka mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…