Nina miaka 30 sina mtoto

We akili unazo ? [emoji848] usije kukesha unatafuta mwenye akili kumbe shida ni weye ndiyo huna akili [emoji1787][emoji1787]
Ila wew[emoji23][emoji23][emoji23]u
 
Mimi Amadala naamini ungeoa kwanza mtoto angepatikana.
 
Bro ukute wewe ndio huna Akili, ukiona Mwanamke wa kwanza mpaka wa tatu we unaona Hana Akili Basi tatizo Ni wewe.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Kuna ndugu yetu ye kaanza na miaka 35 ila anavyofyatua nje na ndani .Mpaka baba yake kamuweka kikao asimamishe ufyatuaji.Hujachelewa wala haujawahi.Simu ni moja tu tukutane benki.
 


Watoto/Mtoto ni bahati lakini jamii zetu zinaweka kama vile kila mtu ameandikiwa mtoto. Ukisema umechelewa ! umechelewa wapi? Mtoto akizaliwa hata ukiwa 50 sawa tu. Jipange kiuchumi achana na mambo ya kukimbilia watoto hayo yatakuja yenyewe
 
Kwa hiyo ukiwaza ndio utarudisha muda nyuma ili umpate ukiwa na 25 au ukipata akue faster ndani ya miaka miwili awe kashamaliza class 4
.
Bro kama ishakuwa story ya jana iache ibaki jana, maana hata ukiiwaza , huna ubavu wa kuibadilisha

Cha msingi angalia ulipo na nini unachoweza kufanya, hizo presha za watu zitakukosesha amani buree
 
Weka picha, kuna wadada wngi wanatafuta wakuzaa nao WATALEA WENYWE
 
dah[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…