Nina miaka 30 sina mtoto

Nina miaka 30 sina mtoto

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,416
Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...

Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.

Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.
 
Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto ata wa kusingiziwa...

Wakati nazidi kukazanakutafte tonge mdomoni ila pia nmepoteza mda mwingi ma sasa sina mtoto, sina ata mwanamke wa kuzaa nae,

Kiasi kwamba ata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa
Aiseh pole sana... Pambana utafute mtoto muda umefika wa ww kupata mtoto... Ujachelewa sana
 
Kiasi kwamba ata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa

Siamini kuwa ukipata mtoto above 26 umechelewa, kama hauna matatizo yoyote yale ya kiafya (nguvu za kiume) usikate tamaa mtoto utapata tu.
 
Duh pole sana una miaka30 hata demu huna???? Unafel bor!!
 
Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini

Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.
 
Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma
Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini

Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mweny akili na adabu ndo ntazaa nae
We akili unazo? 🤔 Usije kukesha unatafuta mwenye akili kumbe shida ni weye ndiyo huna akili 🤣🤣
 
Back
Top Bottom