maumivu ya jino

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nina maumivu makali mno ya jino

    Jino linaniuma mno Sitaki kung'oa maana nishangoa Moja naogopa mapendo. Mwenye dawa ya dharula ya jino bila kung'oa aniekezee Nahitaji uamuzi wa kung'oa kuziba au kung'oa uwe wa mwisho baada ya kila njia kushindikanq
  2. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino, Alera. Nisuluhisho kwa maumivu ya jino.

    JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖 Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko. 🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
  3. jaap

    JamiiForums Tanzania Msaada jino maumivu ya jino

    Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kwanza kwa mtu anayesumbumiwa na maumivu ya jino

    Hello ,happy new year. Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi . Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana . Chukua maji ya moto changanya na Chumvi baada ya hapo weka mdomoni usukutue Sana kuanzisha dk 5-10 Rudia rudia hilo zoezi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya jino

    Jino langu lilizibwa permanent baada ya kufanyiwa procedure inaitwa root canal kama sijakosea. Nimekaa jino likiwa sawa tu kwa miezi 6 ila sasa limeanza kuuma nini shida?
  6. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Kupunguza au kuondoa kabisa maumivu ya jino kabla ya kwenda hospitali sukutua kwa maji ya chumvi mara 5 kwa siku, siku tatu kisha nenda hospitali

    Mimi naapa nilikuwa siwezi kula , kunywa wala kulala, meno yametoboka yanauma mno hadi machozi yanakuja mi mwanaume nakaza hakuna kulia, mishipa ya kichwa inatoka kichwa kinauma mno, nikamuuliza msela mmoja boda boda nifanyeje kupata ahueni, sidhani kama alimaliza la saba B. Mimi nina madigrii...
Back
Top Bottom