Nina matumaini ya kurusha satellite yangu

Nina matumaini ya kurusha satellite yangu

Hahaha naona Invisible waifanye hii Thread STICKY. ili iwe ya kudumu hadi mwaka 2023, pia iwe ushahidi kwa wajukuu zetu wote snipa Chief-Mkwawa @ilisokolobwe Donn Transistor Msamiati Mwl.RCT

Watanzania wengi baadhi wamekalili kwamba hakuna kisichowezekana, wakamfufue nyerere basi kama kila kitu kinawezekana.

Cyber space defence yenyewe hatuna tunataka tuna formulate pathetic cyber crime laws.
 
Last edited by a moderator:
mwaka 2023. uzito wake ni 0.50kg tu

Hakuna kisichowezekana mkuu.
Hata waliogundua ndege kwa mara ya kwanza na wao walianza na wazo kama wewe.
Sasa jiulize utaanzia wapi kuanzia finance na technology yako.
Ukipata hayo majibu basi uwezekano wa kutimiza ndoto yako ni mkubwa sana.
Kila la heri mkuu hakuna kisichowezekana.
 
Ni kweli imagination kitu muhimu ila kwa hili napata mashaka mkuu.
Satellite!!!!

Ondoa mashaka, Kwan maana ya satellite ni nn mkuu?
Hii ni definition niliyotoa kwenye mtandao

An artificial body placed in orbit round the earth or another planet in order to collect information or for communication.

Definition hiyo inazungumzia Artificial satellite ambayo ndii kiin cha mada yetu . Achana na natural satellite (moon).

Satellite yangu ,kazi yake itakuwa ni kucollect information ( kupiga picha / kurekodi sauti/ kurekodi temp /kurekod umbali kutoka chin) na kisha kunitumia hizo info kwenye laptop yangu.(kwa kutumia mawimbi ya radio ambayo nitayanasa kwa kutumia antena)

so ni kitu simple tu.
Nitachofanya nitachukua motherboard ya simu yeyote ya samsung duos,sensor za arduino,camera ndogo 15mpix na kuendelea, chargeble battery, solar panels(nitazipata kwenye hiz taa za mchina)

then project yangu itaanzia hapo
 
Acha ndoto za alinacha.
tunavyorusha satellite tunairusha umbali dat KM 36000 kutoka kwenye earth surface, ifikia kipimo hicho tunaipa initial velocity mwelekeo sawa na dunia kama ni east to west au west to east.

Wewe unakifaa gani chakurusha umbali kama huo ili ukakutane na centripetal force ?
km 300 tu na uhakika huwezi.
 
salute. Katika wote wewe ni gt.huwezi kudharua usichokijua. Gt unatakiwa kuchukua mda na kuwaza na kufanya utafiti ili kujihakikishia.

acha ujinga watu tuna degree za aerial space humu pumba utaiona tuu!
 
Acha ndoto za alinacha.
tunavyorusha satellite tunairusha umbali dat KM 36000 kutoka kwenye earth surface, ifikia kipimo hicho tunaipa initial velocity mwelekeo sawa na dunia kama ni east to west au west to east.

Wewe unakifaa gani chakurusha umbali kama huo ili ukakutane na centripetal force ?
km 300 tu na uhakika huwezi.

Well said jamaa umesoma Aerial Space Engineering
 
Ondoa mashaka, Kwan maana ya satellite ni nn mkuu?
Hii ni definition niliyotoa kwenye mtandao

An artificial body placed in orbit round the earth or another planet in order to collect information or for communication.

Definition hiyo inazungumzia Artificial satellite ambayo ndii kiin cha mada yetu . Achana na natural satellite (moon).

Satellite yangu ,kazi yake itakuwa ni kucollect information ( kupiga picha / kurekodi sauti/ kurekodi temp /kurekod umbali kutoka chin) na kisha kunitumia hizo info kwenye laptop yangu.(kwa kutumia mawimbi ya radio ambayo nitayanasa kwa kutumia antena)

so ni kitu simple tu.
Nitachofanya nitachukua motherboard ya simu yeyote ya samsung duos,sensor za arduino,camera ndogo 15mpix na kuendelea, chargeble battery, solar panels(nitazipata kwenye hiz taa za mchina)

then project yangu itaanzia hapo
Ewe Punguani Huwezi kweli kabisa hutaweza
 
wewe mwenye akili timamu umefanya/ utafanya nini hadi mwaka huo utakua umefanya jambo gani katika mambo ya technology?

acha kukubali mapema we mwanaume ndo nyinyi mnashiriki mapenzi ya jinsia moja
 
Tatizo watanzania wenzangu upeo wenu wa kuelewa ni mdogo alafu ni wavivu wa kufikilia but hii kitu kinawawekana nilikua nasoma hii post hapa. jamaa kurusha camera into space kwa kutumia ballon. Basi nikawa nikawa nimefikilia kumbe ninaweza kutengeneza sattelite yangu yenye uzito mdogo inakairusha

post ni hii hapa

How to Launch a Camera Into Space
MIT students Justin Lee and Oliver Yeh stuffed a camera in a cooler, tied it to a helium balloon, and—with FAA approval—launched the rig 17.5 miles into the stratosphere. "The results were fantastic," Lee says. "We tracked the device with a GPS-enabled cellphone and found it 20 miles from the launch site." The 5-hour flight, which cost $150 in materials, took photos of Earth every 5 seconds. Then, at 90,000 feet, the balloon popped. See the results at 1337arts.com.

sasa kwa nini utumiemuda mrefu kiasi hicho? ukifa je hizo ndoto zako za mchana nani ataziendeleza hadi mwaka huo?
 
Ondoa mashaka, Kwan maana ya satellite ni nn mkuu?
Hii ni definition niliyotoa kwenye mtandao

An artificial body placed in orbit round the earth or another planet in order to collect information or for communication.

Definition hiyo inazungumzia Artificial satellite ambayo ndii kiin cha mada yetu . Achana na natural satellite (moon).

Satellite yangu ,kazi yake itakuwa ni kucollect information ( kupiga picha / kurekodi sauti/ kurekodi temp /kurekod umbali kutoka chin) na kisha kunitumia hizo info kwenye laptop yangu.(kwa kutumia mawimbi ya radio ambayo nitayanasa kwa kutumia antena)

so ni kitu simple tu.
Nitachofanya nitachukua motherboard ya simu yeyote ya samsung duos,sensor za arduino,camera ndogo 15mpix na kuendelea, chargeble battery, solar panels(nitazipata kwenye hiz taa za mchina)

then project yangu itaanzia hapo

Tatizo la Watanzania mnachukulia vitu simple simple tu. Kama hayo mawazo yako yangekuwa ni VALID basi nadhani kila nchi Duniani au kila mtu angekuwa na Satellite yake.
Unaposema unatumia mawimbi ya radio kukutumia picha, sauti na temperature then utayanasa kutumia antena ya radio naamini kichwani mwako hamna kitu kuhusiana na Electronics & Telecom. Halafu utatumia Camera ndogo 15mpx kupiga picha!! labda hapo mkuu ungesema hiyo Satellite ijipige selfie ningekuelewa.
nitarudi baadae.....
 
Labda itakuchukua miaka 150 ili kukamilisha mpango wako
 
Satellites are manmade objects put into orbit.: they make us safer, provide modern conveniences, and broadcast entertainment.
Orbit an area of activity, interest, or influence. sphere, range, reach, scope, ambit, compass, sweep, jurisdiction, authority, remit, span of control

geostationary satellite orbits the earth directly over the equator, approximately 22,000 miles up. At this altitude, one complete trip around the earth (relative to the sun) takes 24 hours. Thus, the satellite remains over the same spot on the earth's surface at all times, and stays fixed in the sky from any point on the surface from which it can be "seen." So-called weather satellites are usually of this type. You can view images from some of these satellites on the Internet via the Purdue Weather Processor. A single geostationary satellite can "see" approximately 40 percent of the earth's surface. Three such satellites, spaced at equal intervals (120 angular degrees apart), can provide coverage of the entire civilized world. A geostationary satellite can be accessed using a dish antenna aimed at the spot in the sky where the satellite hovers.

A low-earth-orbit (LEO) satellite system employs a large fleet of "birds," each in a circular orbit at a constant altitude of a few hundred miles. The orbits take the satellites over, or nearly over, the geographic poles. Each revolution takes approximately 90 minutes to a few hours. The fleet is arranged in such a way that, from any point on the surface at any time, at least one satellite is on a line of sight. The entire system operates in a manner similar to the way a cellular telephone functions. The main difference is that the transponders, or wireless receiver/transmitters, are moving rather than fixed, and are in space rather than on the earth. A well-designed LEO system makes it possible for anyone to access the Internet via wireless from any point on the planet, using an antenna no more sophisticated than old-fashioned television "rabbit ears."
Some satellites revolve around the earth in elliptical orbits. These satellites move rapidly when they are near perigee, or their lowest altitude; they move slowly when they are near apogee, or their highest altitude. Such "birds" are used by amateur radio operators, and by some commercial and government services. They require directional antennas whose orientation must be constantly adjusted to follow the satellite's path across the sky.
Uses of satellite
Television,Telephones,Navigation,Business & Finance,Weather,Climate and Environmental Monitoring,Safety,Land Stewardship,Development,Space Science

hata ndege hazikuanza kurushwa kwa umbali tunaotumia mda huu.
 
Kwenye hoja yako hiyo kuna 'yes'na 'no'kurusha some kind of stuff into space inawezekana japo ni ngumu,ila ku command the same stuff ku act kama sattelite hapo nina shaka!ila jaribu kaka hata wazo la Da vinci lilukuwa la kuchekesha pia,ila miaka kadhaa baada yake liliweza kuinufaisha dunia,follow your dream,such a nice way of thinking,wenzio wanapanga mikakati ya kumnasa demu mkali wa mtaa wa pili kwa gharama yoyote.
 
Well said jamaa umesoma Aerial Space Engineering

ha ha ha eti Aerial space Engineering wakat hiyo ni topic ya physics wanafundishwa wanafunzi wa FORM FIVE(pcm,pcb na combination zingine zenye physics)
 
Back
Top Bottom