Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

Ukiona mtu anamsifia Jiwe ujue naye ana roho mbaya sana kama huyohuyo Jiwe , jitu linakwambia Jiwe kanyoosha nchi , eti hakuna cha mtoto wa waziri Wala nini hayajui watoto wa mawaziri wapo dunia nzima .
 
Hii ni case moja na huyo mama siyo aina ya wanyonge. Wanyonge tunao wazungumzia na hawa wasio na Elimu lakini kila siku Wa natamani kuona watanzania wote wana kuwa masikini. Hao wanao dai sasa tutaheshimiana.
 
Wanaoitwa wanyonge ni wapumbavu
Siku moja jirani yangu nyumba yake ilikuwa inapigwa mnada na Bank, wanyonge kama kawaida yao walijaa sana wakifurahia kuona nyumba ile inauzwa. Nikawauliza baadhi yao kwani nyumba ile ikiuzwa ninyi mnagawiwa pesa? Au bei ya sukari itashuka? Mmoja akasema wamejenga kwa fedha zetu hawa!!! Nikachoka kabisa. Wanyonge wana roho mbaya usipime.
 
Aisee,umesema point sana,

Wanyonge wasijokijua ni kuwa haya maisha tunategemeana,
Hawajui kuwa tajiri ni boss wa masikini(mnyonge)
Tajiri anapoharibiwa maisha hata huyu mnyonge atakosa mkate wake.
 
Hii ni case moja na huyo mama siyo aina ya wanyonge. Wanyonge tunao wazungumzia na hawa wasio na Elimu lakini kila siku Wa natamani kuona watanzania wote wana kuwa masikini. Hao wanao dai sasa tutaheshimiana.
Watu waliopata misaada ya aina hiyo ni wengi sio lazima kwenye viwanja bali kwa namna zingine. Hao ndio wanyonge wa Magufuli.

Swala la kupenda kuona wengine wanakwama halina uhusiano wowote na uongozi ni utamaduni na kiwango cha uelewa wa mtu.

Sifa kubwa ya mtu maskini ni kuamini kupata ni bahati na si jitihada. Na hiyo notion inakuwa kubwa zaidi kwenye hizi nchi zetu ambapo unakuta watu 200 wanagombea nafasi moja ya ubunge au udiwani. Akikosa huko basi anakata tamaa wakati kuna option zingine za kutengeneza maisha. Na anaepata nae saa zingine ata kama wenye wivu ni baadhi yeye anaamini wote waliokosa wanamuonea wivu especially kama uelewa wake ni mdogo.

Ndio matokeo yake watanzania ni watu wenye wivu sana na kujihami sana. Sio wanyonge tu ata makazini promotional ya mmoja inawekera wengine, that has to do with our embedded culture.

Why embedded culture? asilimia kubwa ya watanzania wanabaki na akili hizo (sio wote) ata ukiwatoa nje ya nchi.

Unaweza kumpeleka mtanzania ulaya, akapata makaratasi ya kuishi huko, shule bure mpaka elimu ya juu, kuna grants luluki za biashara ndogo sehemu zingine zisizo na malipo.

Wengi kwa uelewa wao mdogo awaangalii fursa zilizo wazunguka matokeo yake akiona mtu anaemjua anatusua anaanza wivu wakati na yeye ana fursa hizo hizo kwa sababu keshajijengea kupata ni bahati.

Kwa hivyo swala la wivu wa kushushana ni culture ya watu maskini kwa asilimia kubwa popote duniani; ila kwa watanzania is at different level, duh hawa jamaa noma.
 
Nashukuru Mkuu kunitukana Mimi Mnyonge.
 
Aisee,umesema point sana,

Wanyonge wasijokijua ni kuwa haya maisha tunategemeana,
Hawajui kuwa tajiri ni boss wa masikini(mnyonge)
Tajiri anapoharibiwa maisha hata huyu mnyonge atakosa mkate wake.
Huo ndio ukweli. Tajiri ana weza kuajiri wanyonge hata 50 na kuwalipa.
 
Nina kuelewa unacho zungumza, lakini na kiongozi wetu lawama nyingi alijitafutia. Kwamfano kwanini hakuwafidia alio wabomolea nyumba zao ubungo na Kimara? Kwanini hakuwapa kifuta jasho Wahanga wa vyeti fake japo shs milioni tano kila mtu? Kwanini aliruhusu unyama alio fanyiwa mheshimiwa Mbowe? Kwanini alimfukuza kazi kinyama marehemu Stephen Kebwe? Aliwasikiliza wanyonge wasio jua hiki wala kile. Leo imebaki Historia, He is gone.

Nimefurahi nimeshudia his down fall. Ngoma ikipigwa sana.......
 
Umeongea reality mkuu...hakuna njia unaweza tumia kuwaelekeza hawa watu,kwanza propaganda zimewaingia kisawasawa....kila mtu apambane na hali yake.
Sema sasa wanatuangusha kichizi inapokuja elections, siunajua wana bonge la mob. Tukiwapotezea tunaangamia wote, lazma solution ipatikane mkuu
 
Hawa wanyonge wana sifa ya roho mbaya sana na uwezo mdogo wa kufikiri. kuna siku nilikuwa nimeenda kwa ndugu yangu mmoja kwa lengo la kumjulia hali. Nilipofika pale nilimkuta anaangalia tv kipindi cha uombolezaji. Basi akawa anasema dah sisi wanyonge tutamkumbuka sana Magufuli yaani kafanya mpaka saivi tunaheshimiana mitaani wote tuna hali moja
 
Miradi ipi ?
 
Hawa wanyonge siyo kwamba wanazimia kwasababu wana mahaba sana na marehemu, bali sababu kubwa ni njaa. Wanaenda kwenye hiyo mikusanyiko bila kula wala kunywa kitu chochote.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu mambumbumbu sasa
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] huyo ndo mtanzania
 
Hiyo ndio illikuwa plan ili kila mtu amuabudu na kumpigia goti akimlilia shida
 
Wengi Wanao Jifanya Kulia Lia eti Shujaa Wa Chato alikua ni Mtetezi wa Wanyonge. Wengi Wao ni Watu wenye Roho za Kimasikini waliokua Wakishangilia Matajiri wakiporwa Mali zao na Kumbikiwa Kesi za Ukwepaji Kodi. Walitamani Matajir Waish kama Maisha Wanayoish wao Roho za Kimasikin
 
Jamani chato si ni Tanzania??? Mbona mnaibagua hivo!! Hivi kweli chato wataishi waTu kweli????

Mtasababisha wana chato waikane!! Na kuna hatari ya kuitenga chato duuuu! Si lawama hizi!!!

Sasa wafanyeje wao walichagua mtu na mtu huyo kawapendelea!!! Leo hiii watu wote chato wana nyumba za kisasa! Maji,umeme wa uhakika, lami mpaka jikoni, kila familia ndogo wana ng'ombe wa kisasa wa maziwa!

Shule nzuri zenye hadhi tangu primary. Viwanda vya makopo vingi.maziwa.samaki ajira tele tunazo karibuni chato.

Halafu tunatoa mbunge mwingine machachari sana anakuja lengo awe Rais tena kwa nguvu zetu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…