Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,770
Tuna raisi wa ajabu sana!View attachment 592348
Nimeanza kupata shaka na utu wa Rais Magufuli. Sijui yanakuwa matamshi ya bahati mbaya au makusudi.
Rais anazifanya fikra kwamba kina Manji wanandamwa kwa sababu wana raha zionekane sahihi. Au tuseme kina Mbowe wanahujumiwa miradi yao kwa sababu wana raha? Inaudhi sana.
Tazama watu wamefikia kumtukana Rais mitandaoni kwa sababu ya kauli kama hizi