pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,295
- 3,881
Wanasema mtu akiwa na umaskin wa roho huwa hataki mwingine awe na kitu
Kumuunga mkono rais akitenda wema ni sawa na kimuunga mkono baba yako akileta unga nyumbani, haina haja maana ni jukumu na wajibu wake kufanya hvyo.....Kuna siku aliyofanya utu wwte wewe ukamuunga mkono, acha kutudanganya hapa..
Hizi nyingine ni mbwembwe za ziada. TL amekariri kwamba kila akisikia nyimbo za Jim Reeves basi ni lazima miti ya krismas ianze kuuzwa pale mtaa wa Samora.Tuna Rais wa ajabu haijapata kutokea in TL voice hakika
TL ana vision Kali sana
Sio kweli JPM amekuwa mbunge- mwanasiasa kwa zaidi ya miaka 20, anachokisema anakimaanisha. Ukweli Magu ni zaidi ya Mwanasiasa, ni strategist- angalia kila hatua anayochukua na impact yake kwa waliosimama njiani.Mkuu mleta mada, hapo wanaongelewa wapigaji, mafisadi na wote wa aina hiyo.
Wanaongelewa watu wapenda short cut za maisha, wapenda matanuzi makubwa kwa kutegemea mgongo wa wanyonge.
Ni maneno yanayojikita kwenye vita ya mapambano dhidi ya dhuluma, JPM sio mwanasiasa japo urais ni cheo cha kisiasa.
Kwa miaka miwili aliyokaa ikulu ilitegemewa kuwa awe ameshaanza kuwa na aina ya hotuba tofauti na zile za wakati wa kampeni, lakini kwa sababu sio mwanasiasa anabakia na mtindo wake wa ufikiriaji na uongeaji ambao ni wa kwake na sio wenye kutokana na kuiga tabia za wanasiasa warasimu.
Tunaongelea political skills, political conviction, hivyo ni vitu viwili ambavyo hajabarikiwa.Sio kweli JPM amekuwa mbunge- mwanasiasa kwa zaidi ya miaka 20, anachokisema anakimaanisha. Ukweli Magu ni zaidi ya Mwanasiasa, ni strategist- angalia kila hatua anayochukua na impact yake kwa waliosimama njiani.
Impact ipi? Tuzungumzie impact kwenye maisha yetu wote watanzania! Kuna unafuu wa maisha?, ajira zimeongezeka? Mfumuko wa bei uko poa??Sio kweli JPM amekuwa mbunge- mwanasiasa kwa zaidi ya miaka 20, anachokisema anakimaanisha. Ukweli Magu ni zaidi ya Mwanasiasa, ni strategist- angalia kila hatua anayochukua na impact yake kwa waliosimama njiani.
Umeelewa alikuwa anawalenga kina Nani?View attachment 592348
Nimeanza kupata shaka na utu wa Rais Magufuli. Sijui yanakuwa matamshi ya bahati mbaya au makusudi.
Rais anazifanya fikra kwamba kina Manji wanandamwa kwa sababu wana raha zionekane sahihi. Au tuseme kina Mbowe wanahujumiwa miradi yao kwa sababu wana raha? Inaudhi sana.
Tazama watu wamefikia kumtukana Rais mitandaoni kwa sababu ya kauli kama hizi
Wametafuta kwa jasho Lau siyo!Wivu na husda tu vinamsumbua. Kama watu wametafuta hela kwa jasho lao wasipate raha kwa sababu Magufuli atachukia?
Safi sana mkuu [emoji122] [emoji106]Acha unafiki ninyi wenyewe mlisema tunataka rais mkali, mkaenda mbali na kusema anatakiwa raisi mwenye maamuzi magumu, amkuishia hapo mkasema tunataka rais ambaye hataangalia sura ya mtu.
Mmekuwa vigeugeu sana. Viva Magufuli Vivaaaaaa!!!!
Na tunamwongezea mika 7 mara 2 = 14 mtameza wembe lazima.
Hao wenye raha ni kina nani? Kwa nini atamani kulala nao? Kwani nini mbele? Mbele ni wapi? Kwani akilala nao nyuma au kati itakuwaje?View attachment 592348
Nimeanza kupata shaka na utu wa Rais Magufuli. Sijui yanakuwa matamshi ya bahati mbaya au makusudi.
Rais anazifanya fikra kwamba kina Manji wanandamwa kwa sababu wana raha zionekane sahihi. Au tuseme kina Mbowe wanahujumiwa miradi yao kwa sababu wana raha? Inaudhi sana.
Tazama watu wamefikia kumtukana Rais mitandaoni kwa sababu ya kauli kama hizi
Sijauona utu wake huyu mnyarwanda.Kuna siku aliyofanya utu wwte wewe ukamuunga mkono, acha kutudanganya hapa..
Mnafiki tu km wanafiki wengine wa CCM kina hao wanaishi km raha ktk nchi hii zaidi ya hao viongozi na nchi yetu ajawai kupata kiongozi yoyote njee ya CCM...View attachment 592348