Nina mashaka na kingo za barabara ya Tazara Flyover

Tanzania hakuna fly over.
Ile ya Tazara ni daraja kama daraja la pale mtoni mtongani reli inapita juu na magari yanapita kwa chini.

Tumieni maneno sahihi kwa vitu vinavyostahili na msichanganye na kuleta upotoshajai.

Ila muwe makini ili msije mkafa chadema wakakosa kura
Haya tupe mfana wa flyover unaujua wewe
 
Nimekuwa nikiangalia sana kingo za pembeni za barabara ya Tazara Flyover zinazojengwa nikilinganisha na barabara za juu za nchi nyingine hata ring road za Kenya tu hapo kwenye barabara ya Thika super high way napata mashaka sana kuwa kuna siku ikishafunguliwa tutazipata gari zingine zikiacha njia na kutumbukia nchini.

Wenzetu huko majuu hayo maeneo ya pembeni huwa wanaweka zege hasa kwa urefu reasonable lakini hapa Tazara naona zege fupi kiasi then wameunganisha na mabomba ya chuma kama kingo sasa sijui kiukweli kama baadhi ya madereva wetu wahatapata dhahama.

Hili halina ubishi na hasa ukizingatia madereva wengi hapa kwetu macho juu juu kushangaa ya pembezoni mwa njia kama ulivyoshuhudia ajali mwanzoni mwa matumizi ya daraja la kigamboni

Hapa nadhani wameweka vyuma kulingana na uwezo wa mfuko wetu kwakuwa lengo letu ni flyover tu bila kujali kingo ni za mti au bomba.

Lakini kumbuka kuna mwaka mmoja aliulizwa kwanini mitaro ya pembezoni mwa barabara ni mikubwa sana na inahatarisha usalama wa watumiaji, yeye akajibu kuwa "ukubwa huo utawafanya madereva wazembe kutambua kama yupo barabarani au nje ya barabara"
 
Unajua ata mimi zile kingo ..naziona kidogo hazijatulia ...labda wameweka vile wakitegemea kutakuwa na watembea kwa miguu juu
Na Bajaj labda au boda boda lakini kitu kimetumwa sawasawa halafu ikatokea breakdown yoyote ile lazima tusikie Paaaaaaaa!
 
Hapa nadhani wameweka vyuma kulingana na uwezo wa mfuko wetu kwakuwa lengo letu ni flyover tu bila kujali kingo ni za mti au bomba.

Lakini kumbuka kuna mwaka mmoja aliulizwa kwanini mitaro ya pembezoni mwa barabara ni mikubwa sana na inahatarisha usalama wa watumiaji, yeye akajibu kuwa "ukubwa huo utawafanya madereva wazembe kutambua kama yupo barabarani au nje ya barabara"
Au ile Ubungo wakati ule kutoka Kibo kuelekea Ubungo Tanesco....
 
Naam, nakumbuka kuna mwaka pale Tanesco karibu na mataa nilishuhudia grader lilitokea kibo likahama njia likatumbukia mtaroni
 
Mimi nafikiri hizo ni kingo za muda huu wa matengenezo, likikamilika wataweka kingo zenyewe.
 
Tanzania hakuna fly over.
Ile ya Tazara ni daraja kama daraja la pale mtoni mtongani reli inapita juu na magari yanapita kwa chini.

Tumieni maneno sahihi kwa vitu vinavyostahili na msichanganye na kuleta upotoshajai.

Ila muwe makini ili msije mkafa chadema wakakosa kura
magari yanapita juu na mengine chini hyo ndo maana ya fly-over.
nilichogundua watu wengi wanachanganya kati ya flyover na interchange.
zile mnazona mabarabara marefu yanapishana juu kwa juu huku yakiwa wamezungukazunguka ni interchange.
flyover ni barabara inayopita juu ya mwenzie hata kama ni ya mita 10
Google kuelewa zaidi
 
Ni kweli lile ni kama daraja lolote lazima kingo ziwe madhubuti nimekuwa na mashaka siku nyingi kuusu uwezo wa injinia anaye jenga pale maana hata ujenzi wake ni wakonokono miaka mitatu ni mingi sana pale palitakiwa pakamilike ndani ya mwaka mmoja tu
 
TANROADS ndo wanamjua huyo Mkandarasi ila kuna dosari kama hizi ambazo zinaonekana wazi wazi kabisa
 
Ni kweli lile ni kama daraja lolote lazima kingo ziwe madhubuti nimekuwa na mashaka siku nyingi kuusu uwezo wa injinia anaye jenga pale maana hata ujenzi wake ni wakonokono miaka mitatu ni mingi sana pale palitakiwa pakamilike ndani ya mwaka mmoja tu
Mkuu wewe umejenga wapi flyover kama hio kwa mwaka mmoja?
 
Tatizo wana chimba nguzo mojamoja pia Kenya flyover nyingi zilikamilika ndani ya mwaka mmoja inatakiwa utafute makampuni yenye uwezo wa kujenga Kwa haraka pale kulikuwa na mashine moja ya kuchimbia nguzo pia usukaji wao wa wa kitako cha kutandikia zege ni hadi eneo moja likauke wafungue na kusuka zile nondo sehemu yapili inaonekana awakuwa na nyenzo za kutosha ni kama wachanganya zege mpo 6 Ila mna chepe moja inabidi mpokezane wakati mngekuwa nazo 6 kazi ingeisha mapema
 
Hela yenyewe ya msaada,labda bajeti ndio imesababisha hayo ulioyaona. Lakini kabla ya ujenzi walitoa muda wa kumaliza na hawajapitusha so far.
 
Mainjinia wa ukweli ujenga Kwa kasi ili kuokoa gharama hivyo lilitakiwa kujengwa na kukamilika kabla ya muda
 
Back
Top Bottom