Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama kweli bado yuko CHADEMA na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, CHADEMA wanapambana na Makonda kuliko kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya CHADEMA,
Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA, lkn leo hii CHADEMA hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...