Nina mashaka na Intelligence ya G. Lema!

Kama kweli bado yuko chadema na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, chadema wanapambana na Makonda klk kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya chadema, yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya chadema, lkn leo hii chadema hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...
Asiyejua maana haambiwi maana, kaa ulivyo
 
Mwambieni rahisi wenu kipindi cha "SHILAWADU" kipo hewani,awahi kwenye tv asipitwe...sisi na Rais wetu Lissu tunasubiri "THIS WEEK IN PERSPECTIVE".
Marais wa SADC wanajadiliana mstakabali wa nchi zao jamaa anafatilia shilawadu kuhusu Gwajima na mchepuko!! Dah! mwambieni,Viwanda vinaonekana kwa sera siyo maneno.
 
Kama kweli bado yuko CHADEMA na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, CHADEMA wanapambana na Makonda kuliko kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya CHADEMA,

Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA, lkn leo hii CHADEMA hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...
Basi nikajua member wa maana kaleta thread kumbe wewe.

Basi sawa
 
Mkuu sijasikia comment yako kuhusu Saudi Bashite. Au kwa kuwa na wewe huna tofauti Nate.
 
Wewe utaacha lini ujinga? Kuna wakati fahamu zinakurudia lakini kuna muda mwingi unaharisha.

Ila jua kuwa unapokuwa kwenye akili zako za kuzaliwa unakubalika.

Sisi watu wa Arusha tunamuelewa G. Lema na hatuteteleki kukiunga mkono CHADEMA.

Jipime
 
Kama kweli bado yuko CHADEMA na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, CHADEMA wanapambana na Makonda kuliko kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya CHADEMA,

Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA, lkn leo hii CHADEMA hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...

Hujui kinachoendelea kwetu wewe endelea kusifu na kuabudu mabashite.
 
Hivi CDM wameongelea suala la Makonda au unawashwa tu? Mbona ujazungumzia uyo mbunge wenu Kingu?
 
Kama kweli bado yuko CHADEMA na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, CHADEMA wanapambana na Makonda kuliko kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya CHADEMA,

Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA, lkn leo hii CHADEMA hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...
Mchonganishi, mfitini, subiri utaona yatakayotokea. Wewe intelligence yako ni uzuri wa mtakatifu na ubaya wa CDM uzi hadi uzi. Jitafakari.
 
Hivyo unakiri vifungo vyao ni batili... Na waliowafunga wamefanya ubatili na bado upo nao? ungehama kwanza wewe toka kwa watu batili ndo ungekuja kumshauri lema.
Mkuu umesoma na kuelewa alichoandika?
Kasema
Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA
kwamba walivunja sheria, sio kwamba hawakuvunja sheria hivyo wameshitakiwa kwa makosa. Jifunze kusoma na kuelewa.

MTAZAMO WANGU:
  1. Lema anakomolewa apunguze mdomo mkali jukwaani lakini sioni kosa kubwa la jinai alilofanya.
  2. Lijualikali amefanya kosa la jinai na alirudia kosa alistahili kupewa adhabu iliyoainishwa kisheria kwa kosa lake.
 
Lijualikali anajua hilo ndio kasema akitoka hataweka
bendera kwenye gari.
 
Lema katoka kwa dhamana na kuwasamehe watesi wake. Sisi tunataka ukweli kuhusu tuhuma za Bashite kughushi vyeti na kujiita Makonda na kupata vyeo kupitia serikali takatifu ya Magufuli. Kama sio kweli basi tukamatwe wote kwa sheria za makosa ya mtandao. Si zipo na zinafanya kazi?? Tutalipigia kelele jambo hili hadi CCM na serikal yake kiziwi itakapoelewa kuwa wanaopiga kelele sio CHADEMA na hata kam wangekuwa Chadema katika hili tutawaunga mkono hadi kieleweke. Magfl mwenyewe alifojifoji tu ndiio maana anashindwa kuwa sincere.
 
Hivyo unakiri vifungo vyao ni batili... Na waliowafunga wamefanya ubatili na bado upo nao? ungehama kwanza wewe toka kwa watu batili ndo ungekuja kumshauri lema.
Umemjibu kwa hekima mjinga huyo! Umempa faida ya bure.
 
Kama kweli bado yuko CHADEMA na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, CHADEMA wanapambana na Makonda kuliko kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya CHADEMA,

Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA, lkn leo hii CHADEMA hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...
Atazawadiwa least umekubali kuwa wameonewa. .... mtu hupigania haki pale ambapo hakutendewa haki.

Dhuluma waliyofanyiwa hawa watu ni kweli ilitakiwa wapiganiwe kwa nguvu zote. Swali, je hizi Dhuluma ni mpaka lini? Kwa nini haki haitendeki!!
 
Ningependa sana kumwona huyu mleta mada. Anaonyesha ni mtu ambaye akili yake na uwezo wake na maono yake ni bashite tupu.
Kwa nini mambo ya bashite aelekezee chadema?
Jambo la kugushi ni la polisi. Wote tunashangaa kwa nini hajakamatwa kama wengine wanakamatwa bila uchunguzi.
 
Kama unawasiwasi na IQ yake chukua wajeda mkamvamie kama huyo jamaa yako alivyamia kipindi cha watu. Mmekula maharage ya wapi?
 
Kama kweli bado yuko CHADEMA na aanaendelea kuipigania basi ana low intelligence, CHADEMA wanapambana na Makonda kuliko kifungo cha Lema au Lijuakali, huyu Mbunge wa Kilombero yuko Jela na keshasahaulika, izingatiewe kwamba wote Lema na Lijuakali wamekwenda Jela kwa sababu ya CHADEMA,

Yaani walikuwa tayari kuvunja Sheria zetu kwa ajili ya CHADEMA, lkn leo hii CHADEMA hiyo hiyo inapoteza usingizi na kukesha kufanya propaganda chafu ndani na nje ya nchi dhidi ya Makonda ambaye hawana uwezo wowote wa kumfanya lolote lkn siyo kupambana kumsaidia Lijuakali, kweli Dunia hii kuna watu hawasaidiki, kuna watu wameumbwa kuwa Watumwa na kutumiwa na wengine na hakuna kitu utafanya kuwaokoa ...
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri...headless chicken hahahahahaha
 
Back
Top Bottom