Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Wapendwa,
Mchana wa leo nimepost uzi nikiuliza mtu mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye kampuni yangu tuwasiliane, ajabu thread hiyo haipo tena.
Hakuna popote ujumbe wangu umevunja sheria za jukwaa hili na kuna post nyingi za namna hiyo.
Nina mashaka na integrity ya Jamii Media na Mod aliyetoa uzi huo bila shaka hajaongozwa na miiko ya ajira yake bali hulka binafsi. Naomba thread yangu irejeshwe.
Board Member.