Nina mashaka na huyu mwanamke

Nina mashaka na huyu mwanamke

The Wakanda Panth3r

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
260
Reaction score
205
Habari wana bodi.

Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili, japo kuwa ni mshiriki mzuri wa kusoma na kutoa maoni kwenye mada mbalimbali jukwaani. Leo kuna kitu ningependa kuwashirikisha, pengine kuna wajuvi wa mambo ambao watanisaidia vema.

Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja mwenyeji wa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Ni muda wa mwaka sasa nipo naye kwenye mahusiano haya. Tumekuwa na wakati mzuri sana, japo mikwaruzano ya hapa na pale haikosekani ila sio mikubwa sana kuleta taharuki.

Kitu ambacho nakiona na najifunza kutoka kwa mwenzangu ni utayari wake wa kutaka kuolewa. Tokea mwezi wa sita mwaka huu yeye habari zake ni mahala pa kufanyia harusi, gharama za ukumbi na chakula, wangapi waje kwa harusi n.k.
Mbaya zaidi, karibia rafiki zake wote wameolewa na nimekuwa napata shinikizo kutoka kwa wenzake kwa njia zisizo za moja kwa moja.

Binafsi, sipo tayari kwa mahusiano ya ndoa kwa hivi karibuni. Ila mpango wa kufunga nae ndoa upo kwa zaidi ya asilimia 50. Shida inakuja kwa upande wa mwenzangu kulazimisha, kuwa karibu na ndugu zangu, hata kunitambulisha kwa watu wazito wa mkoani hapa.

Kilichonifanya niandike uzi huu, ni jambo lililotokea na kulishuhudia binafsi asubuhi hii. Mara nyingi, huwa akiwa amekuja nitembelea kwangu basi huwa tunaenda kuoga pamoja kila mara, iwe asubuhi au jioni au hata baada ya chakula adhimu.

Ila leo asubuhi mwenzangu akaenda oga peke yake. Wakati anaoga, nilienda taratibu kwa lengo la kujumuika naye ila nikasema ngoja nijibanze ili nimfanyie utani wa kumshtua, michezo ya hapa na pale. Mlango wa bafu ulikuwa wazi, nikaweza mtazama alichokuwa anafanya. Mwenzangu alianza kujisafisha sehem zake za siri akawa anarudia rudia mara nyingi kuliko kawaida na jambo la kushangaza, ule mkono aliokuwa anajisafishia akaudumbukiza kwenye ndoo ya maji ambayo niligundua alikuwa amenitengea nije kuoga.

Tokea asubuhi tukio hili limenifikirisha sana na kunifanya kuanza kumtazama tofauti mwenzangu. Sio kwa ubaya ila wasiwasi unanifanya niwaze zaidi.

Nje ya jambo hili, huwa tunasali pamoja na kushirikiana mambo kadha wa kadha ya sala. Ila hili la leo limenishtua mno na kunikosesha amani.

Kwa wajuvi wa mambo, je kuna haja ya mimi kuwa na wasiwasi juu ya tukio hili au nifunike kombe mambo yaendelee?

Nawasilisha.
 
Lengo lake ni zuri tu we endelea na mipango ya ndoa! ni sawa tu kama ungekuta anasali kwa sauti ili ndoa yenu ifanikiwe sema yeye kasali Kiafrika na wewe umezoea Kizungu au Kiarabu.
 
Acha utoto, otherwise funga bafuni kwako bomba la shut up
 
Kaona unasuasua kakutana wa wajanja wamemfundisha mbinu... Kabla hajaharibika zaidi na kama unampenda kwa dhati... Ongea naye kwa upole na makhaba.. Mweleze ubaya na athari wa kitu alichofanya kisha mhakikishie ndoa..

Alichofanya ni kibaya kwanini asimpige?
Ampige na amuache.. Kumbuka huwezi jua ilikua dawa ya nini ile
 
Japo nimezaliwa na kulelewa kiafrika zaidi, ila sio muumini mzuri wa kukandamiza jinsia ingie kwa vipigo au udharirishaji mwingine.

Wanasema kuona na kulizungumza hili jambo ni njia bora sana, inapunguza na nguvu ya ushirikina kama kweli upo.

Back
Top Bottom