Daah mkuu umenena kisomi mnooo hongera sana zipo nchi mashirika yao ya kijasusi hayalali ni kuwahadaa makanjanja kama kina akili ndogo na wenzie ili kuvuruga nchi zaoChama cha Chadema kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwahali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama. Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.
Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Mchange? Kumbe ni kweli anachokisema mleta madahahahhaha...tutachanga sisi...mbona unaanza kuweweseka
wewe na mkeo mnaona sizonje anafanya kazi...wengine tunaona anaharibu nchi
Hahahaaaa, kama hivyo sawa.Wala usisumbuke
Huu ni mpango wa kula
Vya mjinga
Kwa sababu tu ameuumbua mpango wenu dhalimu?Akili nyepe nyepe ni kuwaza jirani kala nini leo
CHADEMA wanahangaika sana, wanauza kadi za kielectroniki? Wangapi watakuwa na access nazo? MAGU kawavuruga.Daah mkuu umenena kisomi mnooo hongera sana zipo nchi mashirika yao ya kijasusi hayalali ni kuwahadaa makanjanja kama kina akili ndogo na wenzie ili kuvuruga nchi zao
Mfumo huu wa kieletroniki unaweza kuwafaa CCM pia,ili kuwezesha chama kupata fedha za kulipia huduma zilizotolewa na Shigongo na wafanyakazi wa chama Kwa ujumla.Chama cha CHADEMA kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwa hali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama.
Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.
Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Chama mfu chadema ni matepeli sana, waliwatapeli mashabiki wao kwa miaka 8 wakisema lowasa fisadi ila baadaye wakabadilika, walimuita mzee sumaye "0" baadaye wanamleta kugombea eti uenyekiti wa mkoa, hahah, hizi kadi ni wizi mtupuChama cha Chadema kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwahali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama. Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.
Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Wasi wasi wako wa nn Mkuu, fedha za serikali si mmezifungia BoT? Waacheni na wenzenu wazikusanye kama nyie mnavyozikusanya na kuzifungia huku mtaani mkikuacha kukavu!Chama cha CHADEMA kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwa hali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama.
Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.
Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Kama watanzania wana Amani nchi ina amani kama mnavyojipambanua basi hakuna haja ya kuogopa,otherwise labda iwe kinyume chakeDaah mkuu umenena kisomi mnooo hongera sana zipo nchi mashirika yao ya kijasusi hayalali ni kuwahadaa makanjanja kama kina akili ndogo na wenzie ili kuvuruga nchi zao