Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Chama cha CHADEMA kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwa hali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama.
Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.
Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..