Nina mashaka na hizi bilion13 ambazo CHADEMA wanapanga kukusanya kama mauzo ya kadi kwa wanachama

Kwani pesa ni za serikali au chadema? Acha watu wachangie chama chao, na ninyi ccm mnaweza kuiga ingawa hamna wanachama kwa sasa.
 
Unaona mbali sana....ungeona na zile za rambirambi ingekuwa poa sana.
 
Alaf wasisahau kipindi kile wapiga dili ndio waliokichangia sasa kama wanafikiri na sasa watachangiwa pole yao, alafu wanalialia maisha ya wananchi yamekua magumu sasa inakuaje wawaze ma b mengi hivyo kama kweli hakuna pesa, jamani Dj anawachezesha mziki msioujua
 
Kama Kuna mtu anaamini kuwa CDM watapata bil 13 kutokana na kadi za wanachama nitamshangaa Sana. Mpango wenyewe umebase kwenye assumption kuwa CDM itakuwa na wanachama zaidi ya mil 13 wa kulipa bukubuku ndo wapate hizo hela. Nadhani wangejikita kwanza kweye kutafuta hai wanachama kuliko kuanza kuota bil 13.
 
Umenikumbusha enzi zile nanii anasema Chadema imeengiza mamilioni ya fedha nchini ili kuihujumu serikali Dr. Slaa akawajibu kwamba kama ni kweli hizo fedha zimeingizwa nchini na serikali imeshindwa kuziona basi usalama wa taifa na system yote ya serikali ivunjwe maana hawako makini hata chembe
 
Mwisho wa siku fedha zinaishia kuwalipa akina Kibatala kwenye kesi za akina Lema, Kufanya mikutano katika hotel za 5 star, kufanya press conference za mihemuko na perdiem za viongozi kwenda ulaya kwa kisingizio cha kwenda ICC. Huku kwenye matawi na mashina hata karatasi 1 ya A4 hakuna ofisi zimefunguliwa kwenye vilabu vya pombe za kienyeji tena zilifunguliwa wakati wa uchaguzi kwa sasa zishafungwa. Baadae mnakuja kulalamika mmeibiwa kura wakati muda wote mpo mijini tu
 
Hadi tunamtegemea Mauzo ya kadi mambo mawili yatakuwa yametokea

Mosi, zile bilion kumi zitakuwa zimeisha zile za ununuzi wa chama.

Pili, rais ameminya mianya yote ya magumashi.

Kanyagia hapo hapo Twende mbele zaidi
 
naona nzi wa kijani wanahaha, ruhusuni mikutano ya siasa tuwaoneshe malaika mkuu alivyogeuka shetani
 
Back
Top Bottom