Nina mashaka na hizi bilion13 ambazo CHADEMA wanapanga kukusanya kama mauzo ya kadi kwa wanachama

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,074
Chama cha CHADEMA kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwa hali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.

Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama.

Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.

Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
 
Chama cha Chadema kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwahali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama. Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.

Daah mkuu umenena kisomi mnooo hongera sana zipo nchi mashirika yao ya kijasusi hayalali ni kuwahadaa makanjanja kama kina akili ndogo na wenzie ili kuvuruga nchi zao
 
Ccm mnaweweseka nini? Nyie walipeni wakina Shingogo hela zao za kampeni mlizo wadhulumu hayo ya Chadema hayawahusu kama watapata au kukosa
 
Daah mkuu umenena kisomi mnooo hongera sana zipo nchi mashirika yao ya kijasusi hayalali ni kuwahadaa makanjanja kama kina akili ndogo na wenzie ili kuvuruga nchi zao
CHADEMA wanahangaika sana, wanauza kadi za kielectroniki? Wangapi watakuwa na access nazo? MAGU kawavuruga.
 
Chama cha CHADEMA kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwa hali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.

Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama.

Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.

Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Mfumo huu wa kieletroniki unaweza kuwafaa CCM pia,ili kuwezesha chama kupata fedha za kulipia huduma zilizotolewa na Shigongo na wafanyakazi wa chama Kwa ujumla.

Njia hii itapunguza safari za kwenda kumpigia magoti Bwana Mkubwa Kila mnapohitaji kufanya kikao kikubwa cha chama.

Ni wazo zuri toka upande wa pili....
 
Chama cha Chadema kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwahali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.
Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama. Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.
Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Chama mfu chadema ni matepeli sana, waliwatapeli mashabiki wao kwa miaka 8 wakisema lowasa fisadi ila baadaye wakabadilika, walimuita mzee sumaye "0" baadaye wanamleta kugombea eti uenyekiti wa mkoa, hahah, hizi kadi ni wizi mtupu
 
Chama cha CHADEMA kimepanga mkakati wa kuuza kadi kwa wanachama wake ili kukunyasa zaidi ya bilioni 13, kwa hali ya sasa kiuchumi na kukubalika Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi sitegemei kama kiasi hicho cha fedha kinaweza kupatikana.

Ninashauri serikali kuwa macho na mpango huu kwani kunauwezekano pesa za wafadhili kutoka nje ama pesa za kifisadi zikatumika kuhujumu serikali ya awamu ya tano kwa kisingizio cha kuwa fedha hizo ni za mchango wa wanachama.

Nimeona serikali nyingi kama ya Venezuela na Brazil wapinzani wakipewa pesa na wasioitakia mema serikali hizo ili kuleta mfarakano na chuki na serikali Iliyopo madarakani.

Hili zoezi linatakiwa kusimamiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ili mpango huu wa kupata pesa hizi uhakikiwe kikamilifu..
Wasi wasi wako wa nn Mkuu, fedha za serikali si mmezifungia BoT? Waacheni na wenzenu wazikusanye kama nyie mnavyozikusanya na kuzifungia huku mtaani mkikuacha kukavu!
 
hesabu simple kabisa, wana wanachama wangapi,na kadi itauzwa bei gani hadi wapate mibilioni hiyo.na kwa nini wakamuliwe wanachama wakati mgombea wao wa urais inasemekana ana ukwasi wa matilioni? kwa nini asiwalipie washabiki wake kadi tu,ni wazo tu washkaji.
 
Daah mkuu umenena kisomi mnooo hongera sana zipo nchi mashirika yao ya kijasusi hayalali ni kuwahadaa makanjanja kama kina akili ndogo na wenzie ili kuvuruga nchi zao
Kama watanzania wana Amani nchi ina amani kama mnavyojipambanua basi hakuna haja ya kuogopa,otherwise labda iwe kinyume chake
 
Sasa kama wanafadhiliwa kuna kosa gani,mbona waoga nyie nimejua kumbe ndiyo maana mtaani pesa hakuna mtaka muwe Nazo nyie tu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom