Nina mashaka makubwa na kifo Bernad Membe something is wrong .

Nina mashaka makubwa na kifo Bernad Membe something is wrong .

Samia alisema kifo ni kifo tu!
 
Alikuwa na matatizo ya afya, apumzike kwa amani
 
Familia ya Bernard Membe naomba mchunguze kifo cha mzee wenu sisi watanzania tumepata mashaka.

Naona unahamu ya kuwekwa ndani, badala ufanye kibiashara chako kwa uhuru unaanza kuichokoza serikali kwa vitu usivyo na uhakika navyo
 
Ameisha kufa mzee.
Hata wakichunguza hawezi kufufuka.

Nyerere alisema "Amini tu Sokoine amekufa"
Samia akasema "Kifo ni kifo tu".
 
Back
Top Bottom