Nina laki 2 nataka kununua gari.Ushauri unahitajika!!

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,374
Utani na masihala hapana.Mwaka ndio unaishia hivo na kiukweli malengo yangu yakukusanya angalau laki 2 nimeyafikisha sina budi kujipongeza kwa hilo.

Sasa nahitaji kausafiri kwani nimechoka kutembea kwa miguu,kuna jamaa anataka kuniuzia hiace na amesema ataniuzia kwa laki 2 na nusu.hiyo gari ya mwaka 1975 haina viti ila si mbaya ntachonga hata vya mbao kwa kuanzia na kama mambo yataenda vizuri ntaifanya daladala.mlango wa abiria haufungi ila nayo si hoja abiria atakae kaa mlangoni ataushikilia na kupata punguzo la nauli.sasa wadau bei hiyo ni sawa au jamaa anataka kunigonga sana?na je route ipi italipa vizuri kwa hapa dar iwapo nitaamua kuifanya daladala?

Ushauri tafadhali!
 
ITAKUFAA HIYO KAMA ILIVYO
Ambulance+ya+Manispaa+ya+Masasi+ikiteketea+kwa+moto.jpg
 
utani na masihala hapana.mwaka ndio unaishia hivo na kiukweli malengo yangu yakukusanya angalau laki 2 nimeyafikisha sina budi kujipongeza kwa hilo.

Sasa nahitaji kausafiri kwani nimechoka kutembea kwa miguu,kuna jamaa anataka kuniuzia hiace na amesema ataniuzia kwa laki 2 na nusu.hiyo gari ya mwaka 1975 haina viti ila si mbaya ntachonga hata vya mbao kwa kuanzia na kama mambo yataenda vizuri ntaifanya daladala.mlango wa abiria haufungi ila nayo si hoja abiria atakae kaa mlangoni ataushikilia na kupata punguzo la nauli.sasa wadau bei hiyo ni sawa au jamaa anataka kunigonga sana?na je route ipi italipa vizuri kwa hapa dar iwapo nitaamua kuifanya daladala?

Ushauri tafadhali!

hiyo gari mbona unapata hata ya mti wa ubuyu. Umenikumbusha jamaa alikuwa na gari alilonunua lakini hakuwahi kulitumia na hata kulipeleka kwake alivuta: Na sababu ilikuwa ni kuwaonyesha wanae kama naye aliwahi kumiliki gari. Chukua gari hilo litakufanya usidharaulike na wanao
 
Utani na masihala hapana.Mwaka ndio unaishia hivo na kiukweli malengo yangu yakukusanya angalau laki 2 nimeyafikisha sina budi kujipongeza kwa hilo.

Sasa nahitaji kausafiri kwani nimechoka kutembea kwa miguu,kuna jamaa anataka kuniuzia hiace na amesema ataniuzia kwa laki 2 na nusu.hiyo gari ya mwaka 1975 haina viti ila si mbaya ntachonga hata vya mbao kwa kuanzia na kama mambo yataenda vizuri ntaifanya daladala.mlango wa abiria haufungi ila nayo si hoja abiria atakae kaa mlangoni ataushikilia na kupata punguzo la nauli.sasa wadau bei hiyo ni sawa au jamaa anataka kunigonga sana?na je route ipi italipa vizuri kwa hapa dar iwapo nitaamua kuifanya daladala?

Ushauri tafadhali!
Kabisaa....kutofunga sio issue hata kidogo afadhali ingekuwa haufunguki, abiria wangegoma kupitia dirishani. kuhusu route kwa dar, piga mbagala kwa nyoka hadi kingugi.
 
Mkuu kupaki usafiri nje ya nyumba ni kitendo cha ujasiri si wote wanapata hiyo fulsa.
 
Utani na masihala hapana.Mwaka ndio unaishia hivo na kiukweli malengo yangu yakukusanya angalau laki 2 nimeyafikisha sina budi kujipongeza kwa hilo.

Sasa nahitaji kausafiri kwani nimechoka kutembea kwa miguu,kuna jamaa anataka kuniuzia hiace na amesema ataniuzia kwa laki 2 na nusu.hiyo gari ya mwaka 1975 haina viti ila si mbaya ntachonga hata vya mbao kwa kuanzia na kama mambo yataenda vizuri ntaifanya daladala.mlango wa abiria haufungi ila nayo si hoja abiria atakae kaa mlangoni ataushikilia na kupata punguzo la nauli.sasa wadau bei hiyo ni sawa au jamaa anataka kunigonga sana?na je route ipi italipa vizuri kwa hapa dar iwapo nitaamua kuifanya daladala?

Ushauri tafadhali!

Ugonjwa wa kuumwa kichwa mfululizo si lazima chanzo chake kiwe ni kuumwa na mbu chanzo kingine chaweza kuwa kumiliki gari bovu.
 
Hahahaaaa... Hiyo bei ni ghali sana.. Mwambie akupunguzie mpaka laki moja..!

Neylu jamaa amegoma kupunguza bei na anasema atanipa kwa bei hiyo kwakuwa tunafahamiana tu.sasa labda unipe mbinu nyingine
 
je huko naweza kupata kwa bei nzuri kidogo? Tatizo umbali na nishati imepanda bei mkuu.
ongeza laki tatu upate hiyo..ni kama mpya but mint condition,hehe,haina michubuko,charge ya battery haisumbui,warranty week moja..breki ndiyo inahitaji marekebisho kidogo..utapewa na huyo mrembo kwa ajili ya training nusu siku.
hqdefault.jpg
 
Utani na masihala hapana.Mwaka ndio unaishia hivo na kiukweli malengo yangu yakukusanya angalau laki 2 nimeyafikisha sina budi kujipongeza kwa hilo.

Ongeza kidogo uchukue hii.

usd250.png
 
Kabisaa....kutofunga sio issue hata kidogo afadhali ingekuwa haufunguki, abiria wangegoma kupitia dirishani. kuhusu route kwa dar, piga mbagala kwa nyoka hadi kingugi.

Kwa nyoka ni jina tu au ndio hali halisi mkuu?na hali ya gari yangu haiwezi kuwa hatari kwa abiria wangu?
 
Duuuuh! Yani ingekuwa huku mwanza ningekwambia upige routy ya UKEREWE-NYEGEZI ingekutoa kimaisha faster yani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom