Nina kipaji cha utapeli

Nina kipaji cha utapeli

Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu

Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda migodi ya dhahabu na kufanikiwa kupewa gramu 89, Yaani kwa sound tu.

Tukio la tatu kipindi narudia hapo kwa Madiba kuna jamaa ambaye nilipanda nae bus alikuwa amebeba dawa za kulevya ilipo fika mpakani jamaa akanichana yakuwa ana madawa baada ya kuona hana namna basi nikamwambia niachie hizo mizigo mana ilikuwa kwenye begi, mwisho wa mchezo nilitoka na zile dawa kwa saund sitosema mbinu na mengine mengi.

Tukiachana hayo matukio madogo madogo niliyofanya ila nikikaaga na watu wenye upeo fulani huwa wananiambia "asee we jamaa kwa jinsi ulivyo unafaa sana kuwa tapeli nawaulizaga kwanini wanasema body yako inaonyesha na pia unaupeo fulani hivi wa kujibadilisha kutokana na mazingira.

Wakuu msaada wenu hivi hiki kipawa nitumie sehemu gani maana sipendi kukitumia kwa njia hasi mana nilisha Liza kijiji kizima pesa kwa kutumia ulaghai na sikugundulika na nikala pesa.

Na nimeisoma sana michezo ya matapeli wa hapa nchini nawaona bado hawana mbinu na mbinu zao za kitoto sana laiti ningekuwa huko mpaka sasa ningekuwa tapeli ambaye hajawahi tokea tz mana nakutapeli halafu unafurahia.

Hebu mnipe namna kabla sijakuwa mlaibu kwa kuumiza watu zaidi.

Ili mdhibitishe hilo naombeni pendekezeni nyinyi nani awe wa mfano iwe kiongozi au mtu wa kawaida yoyote humu.
Pumbafu! Unajisifia upumbafu wako!
 
Daa umemshauri vitu vya maana sana,ila itamuwia ngumu kupata nafasi hizo maana hizo nafasi hazipatikani kwa kuwashawishi ila mpaka wao wajishawishi.
Acha nikupe michongo,
Watumishi wengi(kada ndogondogo) wanasumbuliwa sana kupata ruhusa na uhamisho.
Kwako hii ifanye fursa,uwe na mtandao/ofisi ambapo mwenye uhitaji katika hayo awe anakuona unamwandikia wazo(yaani swaga) za kumshawishi mwajiri wake ammalizie hitaji lako,kisha wewe unalipwa!
Unaweza ukaboresha zaidi.Pia unatakiwa uwe na uwezo wa kuwasiliana na ofisi nyingi za umma na binafsi kwo we unakuwa kishoka wa waajiriwa.
Asante mkuu
 
Ingia betting utapiga pesa. Ukishindwa ingia kwenye siasa
betting hapana ila nina id ya michezo kama 7 hiv mipya na bado sijaona sokon kwenye siasa mh Mkuu sina connection
 
Pumbafu! Unajisifia upumbafu wako!
Kwamba hiZi ni sifa nimeleta hapa ili nisaidiwe sasa utanisaidiaje ikiwa hujaona tatizo husika pleas ushauri wako sipo kwaajili ya sifa
 
Nikwambie kitu bwana, haijalishi dini gani unaamini, kimbilia kwa Bwana mmoja aitwaye Yesu Kristo yeye atakutoa huko.
Ni muumini mzuri sana wa hizi mambo na hakuna dini nisiyo wahi kusali au kuswali hapa nchini
 
Nilikuwa najiandaa kuandika hivi. Huyu jamaa ana nguvu za giza au pepo, anapoongea na mlengwa pepo hili linamuingia mlengwa na kumpumbaza akili na hivyo kujikuta anatii kila anachoambiwa, ni sawa na wale wezi ambao ukikutana nae akikuongelesha tu unampa hela na chochote anachokihitaji baadae sana akishapotea fahamu zinakurudia.

Madhara ni kwamba siku akijakukutana na mtu mwenye nguvu kubwa za kiroho au za giza kumzidi yeye itakuwa vita kati ya hilo pepo lake na nguvu za mlengwa matokeo yake huwenda akafa hapohapo, ugonjwa usioeleweka au akawa kichaa, taahira au kupata aibu kubwa au vyovyote vile kutokana settings za protection ya mlengwa.

Suluhusho: akajisalimishe kwa viongozi wa kiroho wamsaidie kuliondoa hilo pepo haraka sana
 
Una kipaji cha ushawishi,kama ungetaka kukitumia kufanya mishe halali ungepata mafanikio pia,lakini yale yasiyo na majuto baadae.
Sawa mkuu ndio mana nimekuja kwenu nipate moja mbili tatu
 
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu

Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda migodi ya dhahabu na kufanikiwa kupewa gramu 89, Yaani kwa sound tu.

Tukio la tatu kipindi narudia hapo kwa Madiba kuna jamaa ambaye nilipanda nae bus alikuwa amebeba dawa za kulevya ilipo fika mpakani jamaa akanichana yakuwa ana madawa baada ya kuona hana namna basi nikamwambia niachie hizo mizigo mana ilikuwa kwenye begi, mwisho wa mchezo nilitoka na zile dawa kwa saund sitosema mbinu na mengine mengi.

Tukiachana hayo matukio madogo madogo niliyofanya ila nikikaaga na watu wenye upeo fulani huwa wananiambia "asee we jamaa kwa jinsi ulivyo unafaa sana kuwa tapeli nawaulizaga kwanini wanasema body yako inaonyesha na pia unaupeo fulani hivi wa kujibadilisha kutokana na mazingira.

Wakuu msaada wenu hivi hiki kipawa nitumie sehemu gani maana sipendi kukitumia kwa njia hasi mana nilisha Liza kijiji kizima pesa kwa kutumia ulaghai na sikugundulika na nikala pesa.

Na nimeisoma sana michezo ya matapeli wa hapa nchini nawaona bado hawana mbinu na mbinu zao za kitoto sana laiti ningekuwa huko mpaka sasa ningekuwa tapeli ambaye hajawahi tokea tz mana nakutapeli halafu unafurahia.

Hebu mnipe namna kabla sijakuwa mlaibu kwa kuumiza watu zaidi.

Ili mdhibitishe hilo naombeni pendekezeni nyinyi nani awe wa mfano iwe kiongozi au mtu wa kawaida yoyote humu.
Kua mwanasiasa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Unafaa sana kuwa afisa masoko au mpelelezi hizo kazi utaziweza mkuu utaifanya kwa ubunifu mkubwa sana omba wadau hku wakupe connection utakuja nishukuru badaye ..... ukikwama kabisa wakupe connection ya kuwa kishoka TRA
Au awe usalama fake, afu awe anakula sana suti na tai

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwanini usiingie kwenye siasa ama makanisani...
Hicho ni kipawa kitumie kwa weledi.

Karma.
 
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu

Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda migodi ya dhahabu na kufanikiwa kupewa gramu 89, Yaani kwa sound tu.

Tukio la tatu kipindi narudia hapo kwa Madiba kuna jamaa ambaye nilipanda nae bus alikuwa amebeba dawa za kulevya ilipo fika mpakani jamaa akanichana yakuwa ana madawa baada ya kuona hana namna basi nikamwambia niachie hizo mizigo mana ilikuwa kwenye begi, mwisho wa mchezo nilitoka na zile dawa kwa saund sitosema mbinu na mengine mengi.

Tukiachana hayo matukio madogo madogo niliyofanya ila nikikaaga na watu wenye upeo fulani huwa wananiambia "asee we jamaa kwa jinsi ulivyo unafaa sana kuwa tapeli nawaulizaga kwanini wanasema body yako inaonyesha na pia unaupeo fulani hivi wa kujibadilisha kutokana na mazingira.

Wakuu msaada wenu hivi hiki kipawa nitumie sehemu gani maana sipendi kukitumia kwa njia hasi mana nilisha Liza kijiji kizima pesa kwa kutumia ulaghai na sikugundulika na nikala pesa.

Na nimeisoma sana michezo ya matapeli wa hapa nchini nawaona bado hawana mbinu na mbinu zao za kitoto sana laiti ningekuwa huko mpaka sasa ningekuwa tapeli ambaye hajawahi tokea tz mana nakutapeli halafu unafurahia.

Hebu mnipe namna kabla sijakuwa mlaibu kwa kuumiza watu zaidi.

Ili mdhibitishe hilo naombeni pendekezeni nyinyi nani awe wa mfano iwe kiongozi au mtu wa kawaida yoyote humu.
Duuh
 
Back
Top Bottom