Nina kipaji cha utapeli

Nina kipaji cha utapeli

Hali yako ya kiuchumi ikoje kwanza tuanzie hapo?
Ya kawaida tu kanyumba tu ka m120 tushamba tuheka 178 kiujumla ni maskini bado sababu sija jiingiza serious na pia sijaichukulia kama kazi
 
Unafaa sana kuwa afisa masoko au mpelelezi hizo kazi utaziweza mkuu utaifanya kwa ubunifu mkubwa sana omba wadau hku wakupe connection utakuja nishukuru badaye ..... ukikwama kabisa wakupe connection ya kuwa kishoka TRA
Asante kwa maoni yako ila elimu yangu ni ndogo sana nimeishia four ila nina uwezo wa kujifunza kitu kwa muda mfupi
 
Tapeli Elon musk kuwa unamuuzia eneo hapa tz aje kuwekeza.
Pia kuwa wewe Ni mtu wa serikali ama wale matajiri wa Oman,saudia na uae
Inawezekana ila Itahitaji pesa,muda na connection za serikali si
 
Mkuu hebu acha kutuhadaa
Mkuu anatuhadaa kama vile bank uwa wanatoa mikopo tu kwa kuongea na mhudumu 😀😀😀
Halafu kumbe mgodini walinzi ndio wanakuwa wana hifadhi dhahabu
 
Mkuu anatuhadaa kama vile bank uwa wanatoa mikopo tu kwa kuongea na mhudumu
Halafu kumbe mgodini walinzi ndio wanakuwa wana hifadhi dhahabu
Umenielewa lakini je wajua bank gani na ni nani muhusika wa hapo je wajua migodi gani ya nchi gani broo Pia napokea oda ili uamini njoo tukae ni kuonyesha kitu
 
Kuna mwamba anaitwa Hushpup alitakatisha mamilioni ya pesa akiwa mahabusu kule US
 
Umenielewa lakini je wajua bank gani na ni nani muhusika wa hapo je wajua migodi gani ya nchi gani broo Pia napokea oda ili uamini njoo tukae ni kuonyesha kitu
Basi tufanye Tawile maana muda huo sina uchumi mgumu
 
Sababu nia yako sio OVU Basi anzisha kabiashara au fungua kampuni ya kununua na kuuza vitu nnje.

Hcho ulichonacho n skill's moja wapo ya watu wa mauzo/Salesman hvyo ukiwekeza huko utatoka sana kwasie watu wa sales tunajua bila kuwa magumashi uwezi kuuza
 
Kuwa mwanasiasa ili ututapeli nchi nzima
 
You can fool some people some times, but you can't fool all the people all the time.

Siku za mwizi arobaini.
 
Wenzio hawaamini kama watu wana vipaji na mbinu za kulaghai watu mwenzio niliweka shati la k10 poni kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuchukua mifuko ya saruji 12 na kumlipa baada ya miezi miwili nusu ya bei na kuchukua shati langu hapo hata hanijui simjui
Kuna kitu au nguvu fulani ya msaada uliyonayo bila ya wewe kujitambua. Nguvu hiyo inafanya kazi sio kwa faida yako bali kwa faida ya kule inakotoka. Wewe utashangaa tu kwa habari za utapeli inakuwa rahisi sana kufanya hivyo bila nguvu nyingi na mambo yote hutokea kama unavyotaka. Ukiendelea hivyo siku moja utajua kwanini umepewa hizo nguvu ila mwishoni utalipa kwa gharama kubwa sana na mara nyingi utalipa kwa damu yako.
 
Ni kipaji cha utapeli au kipaji cha ushawishi umeamua kukifanyia utapeli?
 
Back
Top Bottom