Mkuu umeongea kitu muhimu sana na kuna kitu umenifungua mpaka kuja kutoa uzi kama huu kuna vitu nilikuwa najiuliza sana unajua nikijaribu kufanya kazi kwa njia za kawaida lazima mishe zangu zifeli ila nikisema nitumie hiki kipaji kujipatia hela mishe zangu zinåenda kama nilivyopanga nikisema kesho nalaza hom m1 bas nikikaa kutulia hiyo kesho nakuta kuna id zinanijia kichwa nini cha kufanya na ni kifuata kweli hizo id hufanikiwa ndio nashindwa kuelewa hizi nguvu zinatokea wapi japo kuna muda sipendi kufanya hivyo ila hufanya pale ninapokuwa na shidaKuna kitu au nguvu fulani ya msaada uliyonayo bila ya wewe kujitambua. Nguvu hiyo inafanya kazi sio kwa faida yako bali kwa faida ya kule inakotoka. Wewe utashangaa tu kwa habari za utapeli inakuwa rahisi sana kufanya hivyo bila nguvu nyingi na mambo yote hutokea kama unavyotaka. Ukiendelea hivyo siku moja utajua kwanini umepewa hizo nguvu ila mwishoni utalipa kwa gharama kubwa sana na mara nyingi utalipa kwa damu yako.
Mkuu kutokana na mishe Zenyewe nimeona bora niite hivyo mana hata hiyi id ya "tuma kwa namba hiyi" muanzilishi ni mimi na ni mbinu ya kijinga kuwai kuitoa kwa jamii nimeshakula kama m50 na kuiacha ila nakuta imekuwa tatizo kwa taifaNi kipaji cha utapeli au kipaji cha ushawishi umeamua kukifanyia utapeli?
Kumbe ni wewe wa tuma kwa namba hii! Sasa tueleze kwanini huwa unatutukana sana tukikushtukia?Mkuu kutokana na mishe Zenyewe nimeona bora niite hivyo mana hata hiyi id ya "tuma kwa namba hiyi" muanzilishi ni mimi na ni mbinu ya kijinga kuwai kuitoa kwa jamii nimeshakula kama m50 na kuiacha ila nakuta imekuwa tatizo kwa taifa
Daa umemshauri vitu vya maana sana,ila itamuwia ngumu kupata nafasi hizo maana hizo nafasi hazipatikani kwa kuwashawishi ila mpaka wao wajishawishi.Unafaa sana kuwa afisa masoko au mpelelezi hizo kazi utaziweza mkuu utaifanya kwa ubunifu mkubwa sana omba wadau hku wakupe connection utakuja nishukuru badaye ..... ukikwama kabisa wakupe connection ya kuwa kishoka TRA
Hilo sijawahi kuhisi ni mtu poa sana
Kweli Kwa sababu wengine humu kunitapeli kirasi labda nikiwa bwax.Hali yako ya kiuchumi ikoje kwanza tuanzie hapo?
Kuna matapeli mbezi beach huko wanasukuma hadi Range Rover za 2016...😂😂😂Ya kawaida tu kanyumba tu ka m120 tushamba tuheka 178 kiujumla ni maskini bado sababu sija jiingiza serious na pia sijaichukulia kama kazi
HaweziHebu pambana na GENTAMYCINE shababi kutoka sauti aje alete Uzi akilia apa.
Siku yapo ipoSijawahi muibia mtu wala kudhulumu kikubwa unatoa mwenyewe sasa sijui moto nachomwaje?
Una kipaji cha ushawishi,kama ungetaka kukitumia kufanya mishe halali ungepata mafanikio pia,lakini yale yasiyo na majuto baadae.Mkuu kutokana na mishe Zenyewe nimeona bora niite hivyo mana hata hiyi id ya "tuma kwa namba hiyi" muanzilishi ni mimi na ni mbinu ya kijinga kuwai kuitoa kwa jamii nimeshakula kama m50 na kuiacha ila nakuta imekuwa tatizo kwa taifa
Una nyota ya segerea! JiandaeHiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu
Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda migodi ya dhahabu na kufanikiwa kupewa gramu 89, Yaani kwa sound tu.
Tukio la tatu kipindi narudia hapo kwa Madiba kuna jamaa ambaye nilipanda nae bus alikuwa amebeba dawa za kulevya ilipo fika mpakani jamaa akanichana yakuwa ana madawa baada ya kuona hana namna basi nikamwambia niachie hizo mizigo mana ilikuwa kwenye begi, mwisho wa mchezo nilitoka na zile dawa kwa saund sitosema mbinu na mengine mengi.
Tukiachana hayo matukio madogo madogo niliyofanya ila nikikaaga na watu wenye upeo fulani huwa wananiambia "asee we jamaa kwa jinsi ulivyo unafaa sana kuwa tapeli nawaulizaga kwanini wanasema body yako inaonyesha na pia unaupeo fulani hivi wa kujibadilisha kutokana na mazingira.
Wakuu msaada wenu hivi hiki kipawa nitumie sehemu gani maana sipendi kukitumia kwa njia hasi mana nilisha Liza kijiji kizima pesa kwa kutumia ulaghai na sikugundulika na nikala pesa.
Na nimeisoma sana michezo ya matapeli wa hapa nchini nawaona bado hawana mbinu na mbinu zao za kitoto sana laiti ningekuwa huko mpaka sasa ningekuwa tapeli ambaye hajawahi tokea tz mana nakutapeli halafu unafurahia.
Hebu mnipe namna kabla sijakuwa mlaibu kwa kuumiza watu zaidi.
Ili mdhibitishe hilo naombeni pendekezeni nyinyi nani awe wa mfano iwe kiongozi au mtu wa kawaida yoyote humu.
Nilikuwa najiandaa kuandika hivi. Huyu jamaa ana nguvu za giza au pepo, anapoongea na mlengwa pepo hili linamuingia mlengwa na kumpumbaza akili na hivyo kujikuta anatii kila anachoambiwa, ni sawa na wale wezi ambao ukikutana nae akikuongelesha tu unampa hela na chochote anachokihitaji baadae sana akishapotea fahamu zinakurudia.Kuna kitu au nguvu fulani ya msaada uliyonayo bila ya wewe kujitambua. Nguvu hiyo inafanya kazi sio kwa faida yako bali kwa faida ya kule inakotoka. Wewe utashangaa tu kwa habari za utapeli inakuwa rahisi sana kufanya hivyo bila nguvu nyingi na mambo yote hutokea kama unavyotaka. Ukiendelea hivyo siku moja utajua kwanini umepewa hizo nguvu ila mwishoni utalipa kwa gharama kubwa sana na mara nyingi utalipa kwa damu yako.