Naomba ushauri wa namna ya kuendeleza kipaji changu cha uchoraji

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Wapendwa katika Bwana, habari ya wakati naamini mko powah sana, lakini poleni kwa wanaohisi udhaifu wa mwili,tuzidi kumuomba MUNGU mponyaji wetu.

Maada yangu
Mimi nafanya kazi ambayo ni kama kibarua ambacho nafanya na mjomba wangu lakini naona sitayafikia malengo yangu kwa wakati, japo napata pesa ndogo ndogo ya kula na kulipa pango hapa town

Bado sijaoa Umri miaka 26"

Nina kipaji cha UCHORAJI lakini kutokana na hii kazi sikuweza kukitilia maanani,nlakini sasa hivi nimeamua kukifanyia kazi na kuanza kukiendeleza taratibu Maana natamani saaaana kuwa mchoraji mkubwa na ni kitu ninacho kipenda sana na furaha yangu kamili ipo hapo.

Napenda iwe ajira yangu maishani!!

Na nishaanza kuipiga na napata madili madogo madogo japo si mara kwa mara!

Na kujulikana inahitaji muda na support

USHAURI WENU WADAU KWA HILI

Nataka kuchukua maamuzi magumu ya kutoka hapa town niende maeneo fulani ya visiwani nikapige work ya kipaji changu kwa kuchora mitumbwi ya wa wavuvi!

Maana kule wachoraji ni wachache si kama hapa mjini,,

Au nikaze tu hapa mjini?!!

Naaamini humu wapo wachoraji ambao wanaweza kushea nami mawazo.
Na kwa wadau wote wa Jf
Mawazo yenu mhimu sana kwangu!

Shukurani sanaaaaaa!
Wenu Bin Shaib Classic 2022!



IMG_20220518_080358.jpg
IMG_20220518_080023.jpg
IMG_20220518_080428.jpg


Baadhi ya kazi zangu!!
 
Huko visiwani Mitumbwi utaichora na itaisha, Je baada ya hapo utatafuta tena sehemu nyingine?
 
Tafuta mentor hapa mjini akunoe kwenye uchoraji. Dalili ya kipaji unayo ila kifanyie kazi. Unaweza kwenda pale masaki ilipokua maisha club ukakutana na wachoraji mbalimbali ujaongeza skills na connections.

Pia kuna uzi upo humu wa wachoraji utafute utapata pa kuanzia.

Visiwani unaenda kuchora mitumbwi watanunua kazi?

Komaa mjini kila kitu hela.
 
Tafuta mentor hapa mjini akunoe kwenye uchoraji. Dalili ya kipaji unayo ila kifanyie kazi. Unaweza kwenda pale masaki ilipokua maisha club ukakutana na wachoraji mbalimbali ujaongeza skills na connections.

Pia kuna uzi upo humu wa wachoraji utafute utapata pa kuanzia.

Visiwani unaenda kuchora mitumbwi watanunua kazi?

Komaa mjini kila kitu hela.
Ahsante mkuu,,,me nipo Mwanza lakini
 
Back
Top Bottom