Nina kamba mguuni,ndio naingia hivyo

Nina kamba mguuni,ndio naingia hivyo

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,537
Nimekuwa mpita njia hapa Jf kwa miaka kadhaa lakini jana rasmi nimejiunga.Nipokeeni,si haba nitashiriki kikamilifu.
 
Karibu sana. kumbuka siku zote kwamba masharti na vigezo kuzingatiwa!!!!
 
Karibu sana.,.na utafaidi mengi sana ukiwa tayari!
 
Asanteni sana najua moto na baridi za jamvi hili
 
Karibu jf,wacha nikuletee kiti ukae kabisaaaa kwa raha zako mkuu
 
Back
Top Bottom