Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Duuh na mimi nipo arusha hebu tuwasiliane pm maana nataka mtu kama wewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo msianze kulaani oho mashoga oho what watu wanaumbwa hivo hawakuomba kama laana ni muumba basi.
Mkuu kwanini mtu akizaa mlemavu wa, tuseme miguu, mlemavu atatafutiwa kiti cha gurudumu n.k?

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni



chagua moja ili kama kupata mwenza upate, vinginevyo itakula kwako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom