Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Kuna jirani yangu na yeye ana mbili lakini mwonekano wake kama dume ila jina lake HAPPINESS, siku moja kulikuwa na mashindano ya mitumbwi iliyodhaminiwa na TBL kulikuwa na makundi ya wanawake na wanaume, sasa yeye alivyoingia kundi la wanawake, wananchi wakapiga kelele mbona huyo dume anaingia kwa wanawake? Ikabidi Polisi waende kumpekua (polisi wa kike) wakakuta ni mwanamke lakini ana mbili, basi wakasema tumethibitisha ni mwanamke, watu aaaaaaaaaaaaaaaaaaa labda wamepewa rushwa hawa polisi
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Sasa unazo mpenzi wa nini??
Jioe na ujit.ombe mwenyewe mijitu mingine bwana! poor you.
 
People mmeanza kuchanganya kati ya Hermaphrodite na Shemale,

Hermaphrodite ni mtu ambae ANAZALIWA na jinsia zote mbili ambazo zinaweza zote kufanya kazi au moja.

Shemale ni MWANAUME ambae amefanya upasuaji na kuwekewa matiti, makalio, nywele, sauti, n.k VYA KIKE ila 'dushe' linabaki vile vile so anaweza kugegedwa na midume au kumgegeda mwanamke.

So huyo dada sio SHEMALE ni HERMAPHRODITE.
Hapo umefuka bi dada.....Hermaphrodite ni scientific term na shemale ni layman language na zote zina same meaning
 
Huwa unaingia period naje sulra imekaa kiume au kike naje unamatiti tafadhari jibu haya kwa ufasaha upate msaada
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
HAYA MAMBO YAPO. KUNA MWIGINE BUNDA YEYE ALIMWOA SHOGA YAKEE. WATOTOO HUW WAWAITA SHZNGAZI MKUBWA NA MDOGO.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom