Nina Idea ya kutengeneza game sina ujuzi

Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia?
Bongo specifically tafuta watu wa software engineering na wenye ujuzi kwenye hizi sehemu androidstudio, unitygame engine, kama game lako ni LA android kama ni PC wanaweza kukupa maelekezo naweza kukusaidia kukupatia developer kama hutojali
 
Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia?
Njoo na bajet tafanye kaz, ila bujet inavary ktokanana na platform ya game either ni android or pc or VR support
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom