Nina hofu ya kifo sana

Nina hofu ya kifo sana

Chukua huu ushauri ninaokupa kamwe hutaogopa kifo na utajiandaa nacho.
Soma Quran nunua ya tafsiri ya kiswahili ili uelewe zaidi maana yake. Inauzwa elf 10 tu.
Kama wewe sio muislamu unaweza kumuomba muislamu yeyote akununulie au uliza msikiti wowote ulio karibu na wewe.
nakushauri uisome Quran kwani kitabu hiki kina maelezo ya kina kitu gani kinatokea wakati wa kufa, baada ya kufa yaani kaburini na siku ya hukumu. Maelezo yote yapo clear na ni rahisi kueleweka.

Kuna watu watakushauri upuuze kifo au usiogope lakini nakwambia ukweli kila mtu ataondoka mwenyewe na huko mbele za Mungu atajibu mwenyewe kwa hivyo pambania nafsi yako hao hawatakusindikiza wala hawatakusaidia ile saa itakapofika.

Mwenyezi Mungu atuongoze sote katika njia sahihi. Amina
 
Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu

Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
Mtafute Tulia ukae karibu naye kwani amesema ameahirisha kifo mpaka uchaguzi uishe.
 
Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu

Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
Toka hapo Kwa bibiako ukajitegemee utasahau kabisa kuwa kuna kufa
 
Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu

Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
Kifo ni kitu kizuri sana utakuja kugundua baadaye.
 
Dunia hii tumetofautiana yaan mi huwa nikiona maiti ndo nakumbushwa kifo Ila sio ndo ndaogopa kuna moja waliiopoa mtoni iliyatimba kwangu nilinyosha mikono Kama navunja kuni
 
Unahitaji Roho mtakatifu, Roho wa Yesu Maishani mwako,

Akiingia huyo, hofu ,wasiwasi, mashtaka yote yataondoka.

Fuatisha sala hii kwa Imani:

Sema

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN
 
Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu

Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom