Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,441
Wewe kwani ni wasiojulikana?Kufa tu ili usiendelee kuogopa kufa tena
Kifo sio kitu cha kuhofia ,kifo ndio kinaleta thamani ya mda.Wewe kwani ni wasiojulikana?
Toa sadaka makanisani na misikitiniWakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu
Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
😀😀Umelipiga bila ndom nini!
Halafu tajiri unakuaje muoga muoga.
Usiogope kifo,kifo kipo tuu!, Kwanza kuzaliwa,pili Mapenzi,tatu ni kifo na huja wakati wowote!Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu
Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
Kuwafaidisha wakina mwamposa na sheikh kipozeonkuna faida gani mkuuToa sadaka makanisani na misikitini
Wakati unakufa kila siku. Unachoogopa nini sasa? Jitahidi kutembelea hospital ujionee watu wanavyokata roho na kutolewa mochwari.so it is the matter of time you will die like othersWakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu
Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu pia nakumbwa na mawazo hasi
Haya umeyajuaje mkuu??Usiogope kifo,kifo kipo tuu!, Kwanza kuzaliwa,pili Mapenzi,tatu ni kifo na huja wakati wowote!
Nimeyaishi na Bado nayaona!Haya umeyajuaje mkuu??