Nina hofu sana na hichi kilichofanywa na jeshi letu tukufu

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Baada ya kuona barua ya M23 wakilalamika juu ya kichapo wanachopewa na jeshi letu, wa Tanzania wengi wamefurahia Sana na mimi binafsi nimelipongeza sana jeshi letu tukufu.

Lakini wasiwasi wangu ni juu ya usalama wa taifa letu hasa mkoa wa Kigoma uliompakani mwa Congo na Rwanda.

Nawaza Kuwa M23 watakuwa sasa na kila sababu ya kusambaa na kujipenyeza Tanzania hasa mkoa wa Kigoma.

Rai yangu Kwa usalama wa taifa wa ongeze sana surveillance Katika mkoa wa Kigoma hasa maeneo ya mipakani mana naona harufu mbaya sana juu ya siku zijazo.
 
What if M23 wanatumia tactic ya kupaka matope kwa kutumwa na mabeberu?
Yote yanaweza yakawa majibu nandio maana kukawa na idara za ulinzi na usalama ikiwemo huu ujasusi nk
Je itakuaje kama hawapaki matope wanamaanisha wanachokisema ama walichokisema?
 
Baada ya kuona barua ya M23 wakilalamika juu ya kichapo wanachopewa na jeshi letu, wa Tanzania wengi wamefurahia Sana na mimi binafsi nimelipongeza sana jeshi letu tukufu.

Lakini wasiwasi wangu ni juu ya usalama wa taifa letu hasa mkoa wa Kigoma uliompakani mwa Congo na Rwanda.

Nawaza Kuwa M23 watakuwa sasa na kila sababu ya kusambaa na kujipenyeza Tanzania hasa mkoa wa Kigoma.

Rai yangu Kwa usalama wa taifa wa ongeze sana surveillance Katika mkoa wa Kigoma hasa maeneo ya mipakani mana naona harufu mbaya sana juu ya siku zijazo.
Watu walinusa harufu hiyo miaka 40 iliyopita mkuu. Kigoma kuna kambi kama zote ukigusa kule utakutana na HIGH VOLTAGE. Hata timu ya Mpira ya Jeshi yaaani MASHUJAA FC iko huko huko kwa wababe kwahiyo endelea kutulia bila wasiwasi mkuu.
 
Baada ya kuona barua ya M23 wakilalamika juu ya kichapo wanachopewa na jeshi letu, wa Tanzania wengi wamefurahia Sana na mimi binafsi nimelipongeza sana jeshi letu tukufu.

Lakini wasiwasi wangu ni juu ya usalama wa taifa letu hasa mkoa wa Kigoma uliompakani mwa Congo na Rwanda.

Nawaza Kuwa M23 watakuwa sasa na kila sababu ya kusambaa na kujipenyeza Tanzania hasa mkoa wa Kigoma.

Rai yangu Kwa usalama wa taifa wa ongeze sana surveillance Katika mkoa wa Kigoma hasa maeneo ya mipakani mana naona harufu mbaya sana juu ya siku zijazo.
Walituulia vijana wetu walioenda kulinda amani.

Washushe silaha zao wachague amani au vita
 
Baada ya kuona barua ya M23 wakilalamika juu ya kichapo wanachopewa na jeshi letu, wa Tanzania wengi wamefurahia Sana na mimi binafsi nimelipongeza sana jeshi letu tukufu.

Lakini wasiwasi wangu ni juu ya usalama wa taifa letu hasa mkoa wa Kigoma uliompakani mwa Congo na Rwanda.

Nawaza Kuwa M23 watakuwa sasa na kila sababu ya kusambaa na kujipenyeza Tanzania hasa mkoa wa Kigoma.

Rai yangu Kwa usalama wa taifa wa ongeze sana surveillance Katika mkoa wa Kigoma hasa maeneo ya mipakani mana naona harufu mbaya sana juu ya siku zijazo.

Kwa mawazo yako hao usalama wa Taifa umewashtua na hili hawalifikiri?
 
M23 ni wachumba tu pamoja na Paul Kagame. Kagame kasoma Monduli kisha kaingia msituni kumsaidia Yoweri Museveni kwenye vita vya Uganda kama intelligence officer pamoja na akina Fred Rwegoma, Patrick Kalegeya (RIP) na Paul Nyamuswa.

Kagame anajuwa strength ya TPDF hawezi kuthubutu KUFURUKUTA kwa kuwa anajuwa itakuwa ndiyo mwisho wake kama Iddi Amini.
 
Baada ya kuona barua ya M23 wakilalamika juu ya kichapo wanachopewa na jeshi letu, wa Tanzania wengi wamefurahia Sana na mimi binafsi nimelipongeza sana jeshi letu tukufu.

Lakini wasiwasi wangu ni juu ya usalama wa taifa letu hasa mkoa wa Kigoma uliompakani mwa Congo na Rwanda.

Nawaza Kuwa M23 watakuwa sasa na kila sababu ya kusambaa na kujipenyeza Tanzania hasa mkoa wa Kigoma.

Rai yangu Kwa usalama wa taifa wa ongeze sana surveillance Katika mkoa wa Kigoma hasa maeneo ya mipakani mana naona harufu mbaya sana juu ya siku zijazo.
Huko Kigoma mbona mbali hao wanyarwanda na wakongo Wana uwezo wa kujipenyeza mpaka Dodoma /Dar bila wasi suala ni wao tu lini wataamua kufanya ubaya kama wana huo mpango lakini kusema sijui ulinzi uimarishwe hatuna huo ubavu tuko uchi sana kama nchi.
 
Sehemu ipi ya Kigoma imepakana na Rwanda? Tofautisha Rwanda na Burundi.
 
Huko Kigoma mbona mbali hao wanyarwanda na wakongo Wana uwezo wa kujipenyeza mpaka Dodoma /Dar bila wasi suala ni wao tu lini wataamua kufanya ubaya kama wana huo mpango lakini kusema sijui ulinzi uimarishwe hatuna huo ubavu tuko uchi sana kama nchi.
Hii si sahihi.
Kama Tanzania iko uchi kama unavyosema isingeweza kuzuia insurgence zilizotokea Kigoma zilizofanywa na wahuni wa kirundi.
Mathalan mauaji na ubakaji wa tereza pamoja na unyang'anyi.
Kwa hapa East and Central Africa sijaona mwenye ubavu dhidi ya Tanzania.
 
M23 ni wachumba tu pamoja na Paul Kagame. Kagame kasoma Monduli kisha kaingia msituni kumsaidia Yoweri Museveni kwenye vita vya Uganda kama intelligence officer pamoja na akina Fred Rwegoma, Patrick Kalegeya (RIP) na Paul Nyamuswa.

Kagame anajuwa strength ya TPDF hawezi kuthubutu KUFURUKUTA kwa kuwa anajuwa itakuwa ndiyo mwisho wake kama Iddi Amini.
Unaongea kama vile una mavi kichwani
 
Back
Top Bottom