kwa muonekano wa jinsi watu walivyochangia hapa, take home messege ni kwamba hatujawa tayari kupambana na gonjwa la ukimwi. kumkimbia mtu mwenye ukimwi maana yake wewe huwezi kupambana na ukimwi. mimi principle yangu huwa ni kwamba any person ntakayetoka naye assumptiuon yangu ni kwamba ameathirika so I trust in heart na nachukua tahadhali zote. sasa kama ukijua mtu kaathirika unakimbia tafasiri yake ni kwamba usipojua una assume ni mzima and then unaweza kutembea naye pekupeku basing on the assumption. kwani kama unaiamini condom why scared? which means huamni condom you live by assumption of no effection to the partner which is wrong.
mimi ninaushuhuda wa ajabu sana. nilishatongoza muathirika kabisaa na yeye alikua anajijua na mimi nikiwa mzima na alikua rafiki yangu kwa zaidi ya miaka miwili mpaka tulipotengana kwa circumstances za kimaisha na sio kuachana.tulikua sensitive sana katika mapenzi condom, no oral kissing. miaka miwili baadaye nilipata contact zake na kupiga nikaongea na kaka yake ambaye aliniambia kwamba amefariki wiki mbili zilizopita. ila mimi ni mzima hiv neg kabisaa. huwa nikisikia watu wanasema condom inapitisha maambukizi nawaangaliaaa nawaacha tu.
ila huyu jamaa alichochemka ni kutoa pesa ili mtu a-risk maisha. penzi sio pesa kwani anaweza kuja rafiki ambaye anapesa kuliko yeye na akawa ndie anmsaidia
Very wise!