Nina hamu .......

Jamani na mimi nataka mmma nataka lala nina usingizi sana leo
 
....hahaha, dirty minds...mie mawazo yote kwa kilimo kwanza na mazao yangu shambani...
mhh mbu wewe ndio kabisa unataka kulalia mtu usijifanyishe kilimo kwanza
 
Jamani naomba mnifahamishe wapi naweza kupata blanket la kukodi kwa siku ya leo. Nasema la kukodi kwa maana blanket la kununua leo hupati hata ukifika dau la juu kiasi gani. Nimekoma kuishi bila blanket nimegungua yana umuhimu wake hasa kwa siku kama ya leo. Kipindi cha joto utaliona halina thamani yoyote na unaweza kulifungia kabatini.
 
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?

Hamu ya chai!
 
Heh heh heh......
Umejibebaaaaa
 
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?

Yakuota moto...
 

daaa nilichelewa kusoma hii comment,tungesaidiana kutafuta mablanketi jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…