BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
- Thread starter
-
- #41
pin bbmHebu nikumbushe namba
pin bbm
Hee heee heee!hamu leo tu yaani na hii hali ya hewa natamani kulala sana
ongea vizuri na BB naye si ana hamu mnaweza saidiana atii!
aaah mie kigezo changu lazima uwe na bbnna nokia ya tochi bibie, nisaidie namba yako ya simu..
yaani we acha tu, analiwa mtu leo ama aliwi?Hii hali ya hewa leo jijini Dar es salaam imeleta tabu kidogo.
sina uhakika wa blanketi mpenzi, leo nahisi nitaanzima blanketi la watu langu liko dry cleanerHee heee heee!
Km vp lala fanya mpango wa sicksheet ukalae lol!
Inabidi tafuta kitu cha blanketi chapa mtu lol!sina uhakika wa blanketi mpenzi, leo nahisi nitaanzima blanketi la watu langu liko dry cleaner
nakwambia leo patachimbikajeInabidi tafuta kitu cha blanketi chapa mtu lol!
Hapo hamu haikubaliki aiseee!
aaah mie kigezo changu lazima uwe na bb
ndio itanipa hamu ya usingizi zaidikwani bb ndo itakuondolea hamu?
usingizi wa leo ningepata kamkeka tu kangenitoshaHapa dukani kwetu tunauza magodoro, karibuni lol
Njoo nkuazime duvet langu, mie naona sina hamu nalo tena, nimenunua kablanket chepesii, hilo lizito nahisi ndo litakuaasina uhakika wa blanketi mpenzi, leo nahisi nitaanzima blanketi la watu langu liko dry cleaner
usingizi wa leo ningepata kamkeka tu kangenitosha